Yes komaa na life lako yaan tafuta Pesa ujenge maisha huyo kashapata wa kumsugua kiarage uko alipo wewe tafuta wa kwako acha kuishi at the past cause past is gone for real, huyo haupo kwenye akili yake level zako sio level zake kashakuacha mbali ndio maana anakupotezea kashakutana na idadi kubwa ya wanaume mpaka sasa na kashapigwa sana miti, futa mafaili yake kwenye ubongo wako format kabisa disk space iwe empty yaan asiwepo hata kwenye sehemu ya memory yako ya kumbukumbu huko aliko mwenzio anatombeka tu wakati wewe unamuwaza, una akili wewe?