ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Laki 8.5Pole mkuu.
Hiyo ni sh ngapi
Kivipi mkuuIPhone is a proper phone mkuu.
Kwanza kama matumizi yako ni kawaida unaweza kukaa masaa 48 bila kuicharge, JF na Instagram ndiyo vinamaliza charger yangu lakini niwaweza kwenda masaa 12 bila kuicharge.Kivipi mkuu
Mm naongelea kwenye storage capacity yakeKwanza kama matumizi yako ni kawaida unaweza kukaa masaa 48 bila kuicharge, JF na Instagram ndiyo vinamaliza charger yangu lakini niwaweza kwenda masaa 12 bila kuicharge.
Sasa chief kwa ushauri wako unashauri nini? Nipate 64GB? nibadirishane na mtu au niuze au niurudishe kule nisubiri Tena?kwa iphone storage ni kitu muhimu tena sana, tofauti ya 16gb inaweza pelekea ongezeko la bei hadi $100.
16gb ni ndogo sana matumizi ya sasa, wiki kadhaa whatsapp tu inajaza hio storage, na ukumbuke 16gb hio huitumii yote free storage ya kutumia itakuwa kama 9gb hivi.
Hata katecno kangu tangu nikacharge usiku hadi sasa ndio nimeanza kukacharge tena.Kwanza kama matumizi yako ni kawaida unaweza kukaa masaa 48 bila kuicharge, JF na Instagram ndiyo vinamaliza charger yangu lakini niwaweza kwenda masaa 12 bila kuicharge.
kama una uwezo rudisha mkuu, 64GB ni mustSasa chief kwa ushauri wako unashauri nini? Nipate 64GB? nibadirishane na mtu au niuze au niurudishe kule nisubiri Tena?
Sent using Jamii Forums mobile app