Mimi hapa kwangu Mwanza ninatumia channel ya AZAM TV na juzi tu ndiyo nimelipa. Kwa siku nne hivi channel ya Azam inapatikana jioni tu na kwa taabu sana. Leo asubuhi mpaka muda huu ndiyo haionekani kabisa.
Nawaombeni ushauri nifanye nini ukichukulia kuwa luninga ndiyo sasa hivi inatupa habari ya kila siku.
Nawaombeni ushauri nifanye nini ukichukulia kuwa luninga ndiyo sasa hivi inatupa habari ya kila siku.