Copy that....requesting the direction...Over....the team has lost the directionWakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!
Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.
Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Unatuzingua hapa,miaka ya karibuni hakuna mwanaume wa ivyo labda pekee yako.tuko na world cupWakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!
Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.
Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Mkuu s kwamba hatujawahi kukutana na romance pamoja na kuchezeana ni sana ila shida inakuja kuanza kuchakata anaogopa sana ila nilivomchunguza n bikra mkuu.... japo nina waswas maana bikra huwez kupima kwa macho tu mpka mfanye hilo tendoYupo mwamba anaemgonga sana tu. Maana usije ukategemea utaikuta bikira hapo
Tamaa zako za mwili nani anazitatua na tamaa zake za kimwili nani anazitimiza kwa miaka yote mitatu? Mimi kama mimi siwezi kuwa na demu nakaa naye zaidi ya week mbili bila kumchakata, hizi juhudi za uvumilivu huwa mnazipata wapi?????Wakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!
Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.
Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Agiza Pepsi barid kabisa hapo nakuja kulipia ........ata me week mbili zikipita nafukuzia sijachakata ua naacha kabisa naendelea na taratibu zingneTamaa zako za mwili nani anazitatua na tamaa zake za kimwili nani anazitimiza kwa miaka yote mitatu? Mimi kama mimi siwezi kuwa na demu nakaa naye zaidi ya week mbili bila kumchakata, hizi juhudi za uvumilivu huwa mnazipata wapi?????
Demu alishamuona jamaa ni shosti ake hawezu kula mzigo huo, alafu mazoea na manzi kwa muda wote huo dah, me roho huwa inauma pale wana wanajua unakula kumbe unashika mapembe miaka mitatu.Agiza Pepsi barid kabisa hapo nakuja kulipia ........ata me week mbili zikipita nafukuzia sijachakata ua naacha kabisa naendelea na taratibu zingne
Miaka 27 awe na bikra acha ujingaMkuu s kwamba hatujawahi kukutana na romance pamoja na kuchezeana ni sana ila shida inakuja kuanza kuchakata anaogopa sana ila nilivomchunguza n bikra mkuu.... japo nina waswas maana bikra huwez kupima kwa macho tu mpka mfanye hilo tendo
Wakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!
Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.
Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Hapo hakuna bikra, demu yoyote kama hana hisia na wewe huwezi kuingiza ata kidole, lakini akienda kwa wakulungwa uchi unatanuka kama beseni ukitoa vilainishi vya kutosha, we endelea na ubwege wako.Mkuu s kwamba hatujawahi kukutana na romance pamoja na kuchezeana ni sana ila shida inakuja kuanza kuchakata anaogopa sana ila nilivomchunguza n bikra mkuu.... japo nina waswas maana bikra huwez kupima kwa macho tu mpka mfanye hilo tendo
Mwambie wewe mwanamke labda atakuelewa, huwa nachukia sana napoona mwanaume mwenzangu anageuzwa fala.Kumbe kuna wanaume kama wewe bado jamani. Hongera endelea kusubiri embe liive wakati wenzio wanakula bichi na chumvi
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app