Naombeni ushauri katika hili

Hayo maamuzi mepesi ndio maana nimekuja kwenu wana jf ili kama inawezekana mnisaidie mawazo. Maana ningekimbia wengine wangesema nimewatelekeza.
 
Mi nakupa pole tu maana waliotangulia wameshamaliza.
 
mkuu kwanza nimependa ID yako.
back 2 d topic kama wadau wengne walivoshauri, hakuna mke hapo, but i wonder 4 years + one child still kwao hufahamiki, how comes? but take the later as an advantage as long as kwao hawakutambui angalia ustarabu mwingne ili mradi tayari ana damu yako atakutafuta kwa masuala ya mtoto, ila usije rogwa ukahararisha
 
Herera, it doesn't mean kuwa kwao hawajui kuwa mimi nina mahusiano na binti yao bt sijaenda huko rasmi
 
Hakupendi huyo, yupo na ww ili ku fulfill dreams zake, mwogope kama ukoma, sio mke wa kuoa.
 
Me naona umekosa maamuzi yakiume,ni wakati wakuwa mwanaume acha uvulana....
 
Kwanza pole sana pili usije ukajikuta ulipoteza mwez ukiwa busy kuhesabu nyota wakat ndio huu amka sasa na kufanya maamuzi sahihi huyo sababu amekuzalia mtoto ndio maana ni kiburi namna hiyo
 

Ushauri wangu ni huu: Muoe haraka sana huyo ni mke mwema katoka kwa bwana!
 
Pig chini. Tutazungusha maneno wee lakini hiyo nduyo conclusion
 
Unbelievable khs dogo sina shaka coz nilishampeleka kwa wazazi na walikubali ni wangu. Thats why iam confident of my daughter. Isitoshe haya majanga yalianza baada ya kuwa mjamzito tuu.
Kumbe ana mimba? I don't think kama ana matatizo ni hali ya muda tu itaisha, nothing to worry


Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hata Wasioweza Hudharau!


'Hata Chura Anapenda Maji Lakini Si Yamoto'
 
Mara nyingi kwenye mahusiano ukiona maudhi ni mengi kuliko raha jua tu huyo mtu sio wako,ukilazimisha ukamuoa baadae utajuta,jali furaha yako kwanza

Mkuu Purple nimekuelewa sana hapo!!
 
Last edited by a moderator:
Watu huwa mnasali ili Mungu awaoneshe njia. Mungu kakufunulia,bado unataka ushauri.

Hakuna mke hapo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…