Naombeni ushauri katika hili

KIDHEA, ni mengi sijayazungumza kwani kila ninavyozidi kuandika maumivu hayauachi moyo wangu. Lkn mawazo niliyoyapata hapa hakika naendelea kujifunza na mwisho nitatoa final say and decision. Kisha nianze safari ya matumaini.
 
Asanteni kwa ushauri wanajf kama ni kupiga nilishapiga mpaka nikapeleka hosipitali ya rufaa mkoa flani hivi lakini sioni sababu ya kumpiga tena. Na isitoshe alishasema nikimpiga tena ananifunga so hiyo option nimeiacha wadau.
 
pole mkuu, ukimuoa huyo lazma uje kuwa mwanafalsafa, na jihesabie kupata stroke, BP na kifo kabla hujaona wajukuu.
mshukuru Mungu umeona hayo yote mapema.
karipoti polisi kama anakutishia maisha.
kimbia kabla hujazeeka kabla ya umri, ila usisahau kumlea mwanao.
 

Usimchekee simama kama mwanaume atabadilika tu, ila usimpige chunga sana mkono wako usimpige, ila act kama mwanaume lazima abadilike tu, na hii ni nzuri zaidi kama unategemea awe mkeo. Asipobadilika baada ya ku act kama Mwanaume, basi atakua ktk kundi la magumegume na hivyo, nini ufanye itabaki ni wewe tu mwenyewe. Naamini wewe ni msomi umenielewa, chunga mkono wako usimpige, ila act kama Mwanaume.
 
sanyingine ata kwakutumia vibao inakuwa ni njia tosha yaku mfundisha mtu anapo kosea.....mpenzi wako bado anakutemea mate...umekaa tyu...!!????? huwezi kuwa mwanaume mwenzangu ww.
 
kaa ..tupa kule

Vitu vingine havihitaji ushauri.
Ukioa lazima ujutreeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu kuna stori ukisoma unashikwa na hasira unatamani uwe karibu na mlalamikaji umtie makofi ya haja. pambaf kabisa.
 
Hivi huko shule mnaendaga kusomea ujinga?ni aibu mtu kuomba ushauri kwa jambo kama hli then unajiita graduate.una tofauti gani na deiwaka wa mtaani sasa?
Acha kabisa kumlinganisha huyu na deiwaka. Wewe ulishawahi kuona deiwaka anaendeshwa kama gari bovu na mwanamke??
 
Kama wewe ulivyomuoa hata huyu atamuoa tu wallah tena, yaani uhakika wa 99% hiyo 1% ni nafasi yake ya kuchomoka. Sijui huwa inakuwaje ila kwenye ishu kama hizi yaani mtu anajua kabisa kuwa huyu mtu hanifai lakini bado tu anaendelea naye na anaoa. Inawezekana kufanywa msukule huwa inahusika pia.
 
Kiajana chukua mwanao ulee.. As for her mwache aande zake coz kama hakusaidii saiv sidhan kama anaweze kukisaidia bdae.. Life ya sasa ni kusaidiana si kutegemeana..
 
Kijana acha kulia lia...

Kwa namna ulivyoeleza inaonesha kabisa hakuna mbele baina yenu...

Na tayari inaonekana ushafanywa msukule maana hata maamuzi magumu washindwa yafanya...

Edit isomeke, "Na tayari inaonekana ushafanywa msukule maana hata maamuzi mepesi washindwa yafanya..."
 
'' ...Alishanitishia nikicheza ataniua kisirisiri au anifanye msukule, nilijipa moyo haiwezekani.."

Sorry to say this; ameshakugeuza msukule!Lile ulilosema haliwezekani naona limewezekana


Binadamu mwenye akili timamu hawezi kufanyiwa hayo yote na akabaki anaangalia tu.Something is wrong brother.....

Huitaji ushauri, unahitaji kufanya maamuzi
 
sasa unataka nn tenaa wakati tiketi umeshapewa mkuu??huitaji kuwa na diploma kuamua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…