Naombeni ushauri juu ya huyu kijana

Naombeni ushauri juu ya huyu kijana

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,786
Reaction score
5,121
Alifanya mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2018 akapata Division 4 yaani D zote. Sasa akarisiti matokeo yamekuja kapata F zote.

Je, wakuu anaweza kutumia cheti chake cha kwanza kwenda chuo?

Maoni yenu ni muhimu
 
MMH HAWEZI KWENDA KAMA ANA D NNE ATAPATA CHUO KAMA HANA HAPATI KWA SASA
 
MMH HAWEZI KWENDA KAMA ANA D NNE ATAPATA CHUO KAMA HANA HAPATI KWA SASA
Yaani ni kwamba alipata four ya 26 mara ya kwanza akiwa na D zote, sasa akarisiti ili apate cc lakini akaambulia F. Sasa tulikua tunajiuliza; je, anaruhusiwa kutumia yale matokeo yake ya kwanza kwenda chuo.
 
Huyo mnaemlazimisha apate pass za chuo, utakuta ana uwezo mzuri sana na kipaji kwenye carpentry, au Masonry kama shule inagoma hakuna haja kulazimisha.

F zote hiyo ni zero sasa.
 
Huyo mnaemlazimisha apate pass za chuo, utakuta ana uwezo mzuri sana na kipaji kwenye carpentry, au Masonry kama shule inagoma hakuna haja kulazimisha. F zote hiyo ni zero sasa.
Mara ya kwanza alipata 26 ya pili kazungusha kabisa.
 
Back
Top Bottom