DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,099
Ndo maana nimekuambia mwache mama aamue mwenyewe kumsamehe au la. Don't be pushy. You might lose her for good.DAFU NA NDIMU, Hili jambo linanitesa sana natamani saaana kuona wazazi wangu wakiishi pamoja mimi nimeshasamehe ila kwa upande wa mama ukiliongelea sana utashangaa anapanga safari ya ghafla kwenda nje. Hapo na mawasiliano yatakataa kwa muda.
We kama mtoto huwezi jua mama aliumia kwa kiasi gani kwanza kwa manyanyaso kutoka kwa baba yako, pili kutokana na kutelekezwa kwako.
Give her a break.