DAVID PETER
Member
- Feb 23, 2013
- 43
- 12
Wewe hamia kwenye dhehebu lake. Simple
Brother umeamka xa 9 kuandik thread😕
Nikirud kweny mada..
Inapendeza zaidi cku ya ibada wapendanao kuongozana na watoto pia.Kwa hiyo hari yako itafikia kipindi mtagawana hadi watoto eg.hawa waluther and hawa wasabato, 4 me hailet picha nzuri thn nahitimisha kwa haya machache MWANAUME KUWA NA MSIMAMO.
Kama una mpango wa kuoana naye basi uje hilo litakugharimu baadae. Hii nimeiona kwa watu wengi maana watoto wanapenda kufuata mama zao na we utajikuta peke yako. La sivyo na wewe uamue kuhama kabisa maana huko mbeleni mtagawanyika tu.Wewe hamia kwenye dhehebu lake. Simple
mnaweza kupendana wakati mnasali madhehebu tofaut na mambo yakaenda tu. Ana complicate huyo dada
Ninamchumba wangu ninaempenda sana,lakini tunashindwa kuelewana kwani tunasali madhehebu tofauti na amesema hawezi kutoka kwenye dhehebu lake,Je,mi nifanyeje?
Simple?