Naombeni ushauri jamani...

Dotowangu

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
242
77
Habari zenu kwa mpigo...ndugu yangu kapata division two ya point 12..ya HGE. anaweza kusoma course ipi na vipi kuhusu mkopo wa serikali anaweza pata?
 
BAF,Bcom,BBA,Llb,PsPA,HRM,land magt pale ardhi,economics,procurement,education etc.mkopo ndo ishu kwa watu wa social science,sie enzi zetu ulikua ukipata dv 1 au 2 automaticaly unakua umequalify kupata mkopo regardless unachukua program gan,bt kwa sasa naskia Heslb wamekuja na sera zao za kozi zenye priorities ambazo ni MD,VM,uhandisi na education.so huyo ndugu yako chuo atapata lakn mkopo inabidi wana ukoo mchangishane ili dogo asome maana hii serikali ya baba mwanaasha cjui ka itaweza kumpa ufadhili.
 
Jaman sorry kwa usumbufu.matokeo yangu ci mazuri naomben ushauri naweza kubahatisha chuo gani na ni kozi ip?physics-S,chemistry-E,biology-D.
 
Back
Top Bottom