Naombeni ushauri jamani nifanyaje?

Naombeni ushauri jamani nifanyaje?

sezari alfred

Member
Joined
Mar 6, 2016
Posts
59
Reaction score
10
Wanaume kweli tunakazi aisee. Yaani hivi karibuni mimi na mke wangu tumepata mfanyakazi wa ndani mpya kutoka Iringa lakini imekuwa ni majaribu kwangu mwanzo mwisho pale wife anapotoka nyumbani na mimi kubaki nyumbani.

Kasichana haka kabichi kabisa kana mitego kwa mikao mbalimbali ya ajabu ajabu, mara kajifanye kudeki huku kana khanga moko sometimes napatwa na muhemko nafikiria kukatafuna ila naionea huruma ndoa yangu changa.

Wife akirudi nyumbani kanakuwa kapole kanavaa vizuri kabisa utadhani kashamba.

Naombeni ushauri jamani, nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iringa, kuwa makini na watoto wabichi hawana mambo kama aliyokuwa nayo huyo mdada wako. Huyo sio mbichi bali ni konkodi haswaaa.
 
Mwombe MUNGU bro. Majaribu ni kama Moto.

Afu njia rahisi zaidi ya kuondokana na dhambi ni kuikimbia sio kukemea. Ondoka nyumbani mzee.

Ama mkataze we ndo boss wake
'If ur serious lakini'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume anayejitambua na kuheshimu ndoa yake hawezi kuwaza kufanya ujinga ndani ya nyumba yake.

BTW.. Hizi post huwa na uhalisia mdogo sana.. Sijui sijui kama uko serious ama la.

Jr
 
Achana na hayo mawazo ya kumla. Mpe heshima mke wako na muonye huyo binti aache hizo tabia. Usipoweka mipaka mapema mkeo atakuja kustukia mwishowe utampoteza au atapoteza upendo kwako for the rest of the marriage life. Usimkosee heshima mke wako
 
Adui Shetani anachowinda ni kuivuruga au kuvunja ndoa yako na mkeo kupitia huyo binti wa kazi.

Mheshimu mkeo na mlindie utu wake. Kwanini umshushe vyeo vyake kwa hg wake!? Inauma mno.

Take care my brother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume kweli tunakazi aisee. Yaani hivi karibuni mimi na mke wangu tumepata mfanyakazi wa ndani mpya kutoka Iringa lakini imekuwa ni majaribu kwangu mwanzo mwisho pale wife anapotoka nyumbani na mimi kubaki nyumbani.

Kasichana haka kabichi kabisa kana mitego kwa mikao mbalimbali ya ajabu ajabu, mara kajifanye kudeki huku kana khanga moko sometimes napatwa na muhemko nafikiria kukatafuna ila naionea huruma ndoa yangu changa.

Wife akirudi nyumbani kanakuwa kapole kanavaa vizuri kabisa utadhani kashamba.

Naombeni ushauri jamani, nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unapanga kufanyaje ?
 
Kama ni kutoka iringa basi mkuu ushashikwa. Yaani hiyo zone sijui ina laana gani? Wachache sana wwnaofanya kazi za ndani wakarudi salama bila mimba. Asopoliwa na Baba mwenye nyumba basi ataliwa na mlinzi au watoto au ndugu za bosi wake. Yaani wanapenda chini sijawahi ona. Ukiwaangalia sasa ni wapolee hata huwezi kudhani.

Hapo unapomuona kama ni kabichi si ajabu kameshazaa huko kwao au hata kutoa mimba tatu au nne pamoja na umri mdogo.

Kuwa makini na Ukimwi katakuleta janga utajuta mpaka unaingia kaburini.
 
Wanaume kweli tunakazi aisee. Yaani hivi karibuni mimi na mke wangu tumepata mfanyakazi wa ndani mpya kutoka Iringa lakini imekuwa ni majaribu kwangu mwanzo mwisho pale wife anapotoka nyumbani na mimi kubaki nyumbani.

Kasichana haka kabichi kabisa kana mitego kwa mikao mbalimbali ya ajabu ajabu, mara kajifanye kudeki huku kana khanga moko sometimes napatwa na muhemko nafikiria kukatafuna ila naionea huruma ndoa yangu changa.

Wife akirudi nyumbani kanakuwa kapole kanavaa vizuri kabisa utadhani kashamba.

Naombeni ushauri jamani, nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wee kagegede tuu bwana.... Ila hakikisha u atumia condom asine beba mimba bure.
 
Back
Top Bottom