Naombeni ushauri jamani ktk hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri jamani ktk hili

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by JATELO1, Feb 13, 2012.

 1. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Wanajamii,
  mimi nina mdogo wangu wa kiume na kwasasa ana miaka 27. Huyu mdogo wangu alifanya CSEE mwaka 2010 na kupata division IV. Akarudia mwaka 2011 kama Private Candidate na kupata alama zifuatazo;
  History C
  Geogr D
  Kiswah D
  English D
  Civics D
  Liter Eng. F
  Mathem. F

  Jumla anakuwa na Division 4 ya Point 29.

  Kumbuka kwamba kabla ya kjiunga QT alisomea Udereva na Machenical kwa mwaka 1 pale FUTURE WOLRD DRIVING COLLEGE pale Buguruni na kupata Driving Licence na Umakenika Grade B baada ya kufanya mtihani wa Veta. Sasa alipomaliza Hapo ndiyo akaamua kujiunga na QT Programme na hatimaye kupata hayo matokeo. Huyu dogo alikuwa akisoma ili aweze kujiunga Ualimu Grade A, lkn sasa imeshindikana kwani Ualimu Grade A nasikia wanatakiwa wenye Division 4 ya Point 28 mwisho. Sasa nimeongea na dogo na inaelekea amekata tamaa, kwani alitamani sana kwenda Ualimu, ukizingatia miaka nayo inazidi kusogea.

  Sasa ndugu zangu naomba ushauri wenu namna ya kumsaidia huyu mdogo wangu. Je kwa matokeo hayo anaweza akafanya nini? na je nimshauri afanye nini jamani?

  Natanguliza shukrani.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  atumie cheti cha 2010 kinafanya kazi pia..
   
 3. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ahsante kwa ushauri wako, lkn naomba kuuliza KITAFANYA KAZI KATIKA SEHEMU GANI? KWA MATOKEO HAYO NDUGU YANGU?
   
Loading...