Naombeni ushauri hii ni ngumu.

Naombeni ushauri hii ni ngumu.

Joined
Jan 7, 2012
Posts
61
Reaction score
7
Ni hivi mimi ni kijana mwenye miaka 28, nilipata mchumba wangu ambaye mwanzoni tulikuwa tunaishi vizuri baadhi ya ndugu zangu wanamfahamu. Lakini yapata karibu miezi minne hivi mahusiano yetu yamepungua kuna rafiki yangu huyu mwanamke alijipeleka mwenyewe isitoshe kuna jamaa mwingine anatoka naye nimefuatilia nikagundua ni kweli kwa kudhibitisha kwamba wana mahusiano na huyo jamaa . Sasa imefikia hata ukimwita hataki kuja lingine aliwahi kuniambia mimi simmiliki na cjamtolea mahari nimefikiria sana hilo suala lakini naombeni mnipe ushauri
 
mkuu kwani mko mapacha na huyo dada mpaka unaogopa kumpiga chini?
 
Usitake kwa king'ang'anizi! Keshakumwaga. Omba Mungu akupe wako. Period!
 
ushauri gani kijana wa kumuacha au tukuambie uendelee naye au nuashindwa kujua hizo dalili ni za nini?
 
STUKA.........huna chako hapo....!!!
 
hahahahahaa yaani mwanamke akikuacha saa hizi roho inakuuma? i think vice versa is true...............
 
Hujajua kusoma alama za nyakati tu....au ndo mahusiano yako kwanza khaaaa!!!
 
Aisee kwa kweli kujieleza/kuelezea kitu kiufasaha kwa kutumia maandishi (yawezekana hata kujieleza kwa mdomo pia)ni janga la kitaifa! Kuna kitu hakiendi sawa kwenye mfumo wetu wa elimu! Yaani hapa kwenye 'red' nimepotea kabisa!
Ni hivi mimi ni kijana mwenye miaka 28, nilipata mchumba wangu ambaye mwanzoni tulikuwa tunaishi vizuri baadhi ya ndugu zangu wanamfahamu. Lakini yapata karibu miezi minne hivi mahusiano yetu yamepungua kuna rafiki yangu huyu mwanamke alijipeleka mwenyewe isitoshe kuna jamaa mwingine anatoka naye nimefuatilia nikagundua ni kweli kwa kudhibitisha kwamba wana mahusiano na huyo jamaa . Sasa imefikia hata ukimwita hataki kuja lingine aliwahi kuniambia mimi simmiliki na cjamtolea mahari nimefikiria sana hilo suala lakini naombeni mnipe ushauri
 
I hate wanaume wa tabia hizi una 28 yrs hata maamuzi kwa suala dogo kama yamekushinda kufanya jaman

Unategemea uitwe baba kiongozi
Ramani hujui picha nalo hujui...njano umeshawashiwa

Achana nae mkuu Fanya mambo mengine
Mapenzi hayalazimishwi
 
Kweli ww kilaka pamoja na kuona yote hayo bado unamganda? Acha ubwge ww tambua ww ni mwanaume na ni mtu mzma lazma uwe na msimamo kama mwanaume na uwe na maamuzi sahihi na imara. Sio unabwabwaja tu.
Amekuona hauna maamuzi ya kiuanaume ndiyo maana anakufanyia hvyo. Huna hata aibu kuwa et unamtafuta hataki kuja. Owh damn
 
Ni hivi mimi ni kijana mwenye miaka 28, nilipata mchumba wangu ambaye mwanzoni tulikuwa tunaishi vizuri baadhi ya ndugu zangu wanamfahamu. Lakini yapata karibu miezi minne hivi mahusiano yetu yamepungua kuna rafiki yangu huyu mwanamke alijipeleka mwenyewe isitoshe kuna jamaa mwingine anatoka naye nimefuatilia nikagundua ni kweli kwa kudhibitisha kwamba wana mahusiano na huyo jamaa . Sasa imefikia hata ukimwita hataki kuja lingine aliwahi kuniambia mimi simmiliki na cjamtolea mahari nimefikiria sana hilo suala lakini naombeni mnipe ushauri

Maelezo yanaonyesha jinsi ulivyo. Ana kila sababu ya kukutosa. Ukipata mwingine itakuwa hivyo hivyo hadi ubadilike.
 
Ni hivi mimi ni kijana mwenye miaka 28, nilipata mchumba wangu ambaye mwanzoni tulikuwa tunaishi vizuri baadhi ya ndugu zangu wanamfahamu. Lakini yapata karibu miezi minne hivi mahusiano yetu yamepungua kuna rafiki yangu huyu mwanamke alijipeleka mwenyewe isitoshe kuna jamaa mwingine anatoka naye nimefuatilia nikagundua ni kweli kwa kudhibitisha kwamba wana mahusiano na huyo jamaa . Sasa imefikia hata ukimwita hataki kuja lingine aliwahi kuniambia mimi simmiliki na cjamtolea mahari nimefikiria sana hilo suala lakini naombeni mnipe ushauri

Ukiona manyoya, ujue kaliwa....
 
Back
Top Bottom