Salamu wana JF, mi ni msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo hatujafanikiwa kusex kutokana na mimi kutokujua chochote kuhusu sex na kwa sababu pia ni bikra. Mpenzi wangu haniheshimu hata kidogo ni kunisema tu mwanamke gani hajui mapenzi. Moyoni naumia sana sina tu jinsi.
Pia mpenzi huyu hataki kabisa tukachek afya,kila mara namsumbua tukachek afya ili tuwe free kwenye swala la sex kwani hata mara ya kwanza nilikua nakataa kusex ili tuchek afya kwanza ila akanilazimisha kitu ambacho uume haukufanikiwa hata kuingia.
Toka juzi tumegombana kisa tu alitaka aje kulala kwangu nkawambia unaonaje tukachek afya, akaniambia hana munkari wa kuhangaika kucheki afya na mtu asiyejua kusex. Niliumia sana mpaka sasa naumia sana kwani nampenda sana lakini ndo ivo tena. Mpaka ninavoandika hapa hatuko kwenye maelewano.
Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini maana nikingalia nimejitunza sana na sasa umri umeenda.
NB: Sio mtu wa kuendekeza sex, kupima anasema tusubirie mda wa ndoa.
Nifanyeje jamani nianze tu kumtafuta mimi na kujifanya mimi ndo nimekosea maana naumia mwenenu.
twende tukacheki na mimi bhanaSalamu wana JF, mi ni msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo hatujafanikiwa kusex kutokana na mimi kutokujua chochote kuhusu sex na kwa sababu pia ni bikra. Mpenzi wangu haniheshimu hata kidogo ni kunisema tu mwanamke gani hajui mapenzi. Moyoni naumia sana sina tu jinsi.
Pia mpenzi huyu hataki kabisa tukachek afya,kila mara namsumbua tukachek afya ili tuwe free kwenye swala la sex kwani hata mara ya kwanza nilikua nakataa kusex ili tuchek afya kwanza ila akanilazimisha kitu ambacho uume haukufanikiwa hata kuingia.
Toka juzi tumegombana kisa tu alitaka aje kulala kwangu nkawambia unaonaje tukachek afya, akaniambia hana munkari wa kuhangaika kucheki afya na mtu asiyejua kusex. Niliumia sana mpaka sasa naumia sana kwani nampenda sana lakini ndo ivo tena. Mpaka ninavoandika hapa hatuko kwenye maelewano.
Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini maana nikingalia nimejitunza sana na sasa umri umeenda.
NB: Sio mtu wa kuendekeza sex, kupima anasema tusubirie mda wa ndoa.
Nifanyeje jamani nianze tu kumtafuta mimi na kujifanya mimi ndo nimekosea maana naumia mwenenu.
hongera sana kwa kuwa bikira, sasa kwa taarifa yako ni kwamba huyo mpenzi wako yeye ndo hajui kusex kwani ameshindwa kuvunja bikira eti uume hauingii ? hahahahahahahahahaha jamani kuna mambo huku dunian
kama angekuwa anaingiza ndoo kweli haitaingia ila uume ? unaingia sana tu, mwambie hata yeye hajui kufanya sex mbona kashindwa kuingiza sasa
Salamu
wana JF, mi ni
msichana nina mchumba wangu ambaye tumekua tukigombana kila mara sababu
za ajabu ajabu tu. Ni mwanaume wa kwanza kuamua kumvulia nguo japo
hatujafanikiwa kusex kutokana na mimi kutokujua chochote kuhusu sex na
kwa sababu pia ni bikra. Mpenzi wangu haniheshimu hata kidogo ni
kunisema tu mwanamke gani hajui mapenzi. Moyoni naumia sana sina tu
jinsi.
Pia mpenzi huyu hataki kabisa tukachek afya,kila mara namsumbua tukachek
afya ili tuwe free kwenye swala la sex kwani hata mara ya kwanza
nilikua nakataa kusex ili tuchek afya kwanza ila akanilazimisha kitu
ambacho uume haukufanikiwa hata kuingia.
Toka juzi tumegombana kisa tu alitaka aje kulala kwangu nkawambia
unaonaje tukachek afya, akaniambia hana munkari wa kuhangaika kucheki
afya na mtu asiyejua kusex. Niliumia sana mpaka sasa naumia sana kwani
nampenda sana lakini ndo ivo tena. Mpaka ninavoandika hapa hatuko kwenye
maelewano.
Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini maana nikingalia nimejitunza
sana na sasa umri umeenda.
NB: Sio mtu wa kuendekeza sex, kupima anasema tusubirie mda wa ndoa.
Nifanyeje jamani nianze tu kumtafuta mimi na kujifanya mimi ndo
nimekosea maana naumia mwenenu.
Kwa hiyo we bado bikira shost!? Sasa subiri watakuja wa kukufundisha pia sex wapo wengi hapa