Sichek na Kima
Member
- Aug 4, 2025
- 93
- 233
Nimekua nikifatilia JF kwa muda sana lakini hatimae nimeamua kujiunga rasmi na ustaarabu mimi mikiki siiwezi
Umebadilisha li ID sasa unataka ujichukulie maujiko ya kakaribiswa wakati wewe ni used kabisa kama demu anayekichafua mtaani anahamia mkoa mwingine wanamuita demu mpya kumbe usedNimekua nikifatilia JF kwa muda sana lakini hatimae nimeamua kujiunga rasmi na ustaarabu mimi mikiki siiwezi
KaribuuuuNimekua nikifatilia JF kwa muda sana lakini hatimae nimeamua kujiunga rasmi na ustaarabu mimi mikiki siiwezi
Wewe siku mpaka wakuvue ngue ndi utaacha kuita wenzako majina ya ajabu
Nshavuana na wewe unataka turudie Tena ?Wewe siku mpaka wakuvue ngue ndi utaacha kuita wenzako majina ya ajabu
Wewe siku mpaka wakuvue ngue ndi utaacha kuita wenzako majina ya ajabu
Jamani ombaneni msamaha yaishe kuna mgeni hapaNshavuana na wewe unataka turudie Tena ?