Naombeni ufafanuzi wa hili tukio

Naombeni ufafanuzi wa hili tukio

Corluka Neven

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
325
Reaction score
372
Mtoto wa mjomba wangu amefariki jana usiku saa nne Muhimbili, alifanyiwa sana operesheni ya goti. Sasa jana walitaka kumfanyia tena operesheni hapo hapo baada ya kusema hiyo sehemu ya goti ina bakteria sana itabidi wapige sindano.

Sasa jana baada ya kumpiga sindano ya kutoa uchafu, eti ule uchafu ukaenda hadi kwenye moyo akafariki?

Alikuwa form six mwaka huu
 
Pole Sana ndugu yangu. We pambana na maisha yaliyobaki
 
Mtoto wa mjomba wangu amefariki jana usiku saa nne mwimbili!!!alifanyiwa sana upareshen ya goti sasa jana walitaka kumfanyia tena upareshen tena hapo hapo!!?baada ya kusema iyo sehem ya goti ina bakteria sanaa itabidi wapige sindano??sasa jana baada ya kumpiga sindano ya kutoa uchafu!!!eti ule uchafu ukaenda hadi kwenye moyo akafariki??alikua form six mwaka huu
Polen na msiba! Nataka nikwambie jambo moja your life is yours not doctor life kuna kipind hawa madaktar huwa wanazingua na imabid uwe makin sana na msikubal kupelekeshwa kila kitu inabid wawape maelezo yanayoeleweka kisha mnakaa kamat na ndugu ambap mnawaamin ktk mawazo sio wale ndugu wa kuropokoropoka ili mrad ameongea tu

Apo mlipoona kila siku wanamfanyia upasuaji mngegoma na kuchukua vipimo mngehama hospital kwenda kwa maspecialist wa mifupa mm bib yngu walitaka kumpasua mgongo apo muhimbili tukasema NOOO! Tukaongea na mjomba ambar upo USA akaenda huko wakamweka ktk frij akapona adi leo hii ana miaka 100 still tupo nae japo uzee pia ni shida
 
Mmh hapo pagumu uchafu kwenda kwenye moyo labda sepsis shock ndo imemuua...!!
 
Dokta anasema ataangefanya nini asingepona??yan daa kwasababu ya ule mshipa
Polen na msiba! Nataka nikwambie jambo moja your life is yours not doctor life kuna kipind hawa madaktar huwa wanazingua na imabid uwe makin sana na msikubal kupelekeshwa kila kitu inabid wawape maelezo yanayoeleweka kisha mnakaa kamat na ndugu ambap mnawaamin ktk mawazo sio wale ndugu wa kuropokoropoka ili mrad ameongea tu

Apo mlipoona kila siku wanamfanyia upasuaji mngegoma na kuchukua vipimo mngehama hospital kwenda kwa maspecialist wa mifupa mm bib yngu walitaka kumpasua mgongo apo muhimbili tukasema NOOO! Tukaongea na mjomba ambar upo USA akaenda huko wakamweka ktk frij akapona adi leo hii ana miaka 100 still tupo nae japo uzee pia ni shida
 
Dokta anasema ataangefanya nini asingepona??yan daa kwasababu ya ule mshipa
Sikia kaka km nilivyokwqmbia awali hawa madaktar wanazidiana uwezo nyiny mngemwomba awaandikie rufaa msepe mwende kwa specialist wa mifupa hawa madaktar ni binadamu sometime they do wrong mm nshakutana nayo hayo ndio maana nikiona doctors simuelew elew nasepa
 
Mambo ya wataalamu wanachenga zaidi ya pele, Maradona, mess au Ronaldo.
 
Mnakuja na ma "term" yenu badala ya ufafanuzi☹☹☹
 
Hujawahi Sikia wakisema hana nguvu za kiume sababu ubongo kwenye eneo husika umepata madhara.

Au hawezi inua mguu sababu hakuna mawasliano na neva za faham kichwani

Au ......

Mimi simo
 
Fat embolism haijawahi muacha mtu salama.

Lkn kwa nini umekuja kuomba ushauri wakati nduguyo kashafariki? Ungeomba kabla yuko hai ungeeleweka zaidi sana sana saivi unaonekana kama unalalamika.

Anyway poleni sana kwa msiba.
Unforgetable
 
Back
Top Bottom