Naombeni tiba ya kisaikolojia: Mwenzenu nikipanda ndege huwa nawaza hatari tupu

Pole,utazoea tu, ila safari za ndege kwenda America ya kusini ni shidaa tupu,kuna vimbuga vya kufa mtu.
 
Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu!

Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa anganj huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa!
Vile vihudumu vinapoelezea kuhusu maparachuti fastafasta tena kwa kingereza ....ladies and gentleman..... Huwa nasema huyu anasema nini, yaani itokee mbungi huku juu hivi vikapachuti ambavyo hata cjawahi kuvivaa ndo nivae wakati wa hatari vitasaidia kweli?
Kwanza huko angani kuelea tu mtihani mkubwa KM 5 juu angani hadi ufike chini kuna mtu hapo?

Kiufupi huwa nateseka sana nikipanda ndege wakati mwingine huwa najuta kwanini nimeipanda nakuacha bus!
Kuna wakati inapokaribia kutua jamaa huzima kusubiri kuruhusiwa kushuka, basi hata kupumua huwa naona kama oksjen inapungua,

Nyie mnawezaje wenzangu! Tena comfortable kabisa huwa naona mnaneng'eneka kwenda hadi chooni!

Mnawezaje wenzangu? Samahan kwa hili jaman
Soma kitu wanaita "Flight phobia". Sio wewe tu mwenye hilo tatizo. Ni wengi linawasumbua.
 
Kuna kitu kinaitwa "airplane turbulence ni shida," hapa watu huwa wanajinyea wanazimia na wengine kutoa mkojo bila taarifa, wale walioenda Brazil kutokea Dubai watanielewa! Siwezi sahau kombe la dunia 2014 Brazil.Nilipotua home hata pasipoti sikumbuki niliiweka wapi. Ukisikia bahati nasibu sijui ukishinda sijui upelekwe wapi kataa chukua hela!
 
Kabisa yaani! Yanini kupata tabu yote hiyo
 
Tiba yako 😂😂😂😂 hii hapa Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)
Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu!

Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa angani huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa!

Vikianza Vile vihudumu vinapoelezea kuhusu maparachuti fastafasta tena kwa kingereza ....ladies and gentleman..... Huwa nasema huyu anasema nini, yaani itokee mbungi huku juu hivi vikarachuti ambavyo hata cjawahi kuvivaa ndo nivae wakati wa hatari vitasaidia kweli?

Kwanza huko angani kuelea tu ule upepo ni mtihani mkubwa KM 5 juu angani hadi ufike chini kuna mtu hapo? Balaa ufikie juu ya nguzo za umeme itakuwaje!?

Kiufupi huwa nateseka sana nikipanda ndege wakati mwingine huwa najuta kwanini nimeipanda nakuacha bus!

Kuna wakati inapokaribia kutua rubani huzima AC kusubiri kuruhusiwa kutua, basi hata kupumua huwa naona kama oksjen inapungua,

Nyie mnawezaje wenzangu! Tena comfortable kabisa huwa nawaona mnaneng'eneka kwenda hadi chooni!

Mnawezaje wenzangu? Samahan kwa hili jaman
 
Mie hata lift tu napata tabu, yani huwa napanda basi tu napo hadi pawe parefu kama ni gorofa 5- napanda ngazi....
 
Kamuone psychiatrist doctor atakuhudumia na utapona.

Utatakiwa uzingatie therapy na follow up na akiona vyema ataku prescribes pia.
 
Hali hiyo yaweza kuwa na athari hasi kwenye maeneo mengine ya maisha yako mfano kwenye mahusiano, afya ya mwili wako n.k

Kamuone daktari na mchungaji au Shekhe mwenye Ufahamu wa mambo na pia jizoeze kusoma Maandiko Matakatifu, Fanya mazoezi ya mwili hayo ukifanya yote kil moja kwa umuhimu wake baadhi ya muda mfupi utashangaa utakuwa umepona inabaki historia!
 
Asante kwa ushauri mzuri
 
Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu!

Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa angani huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa!

Vikianza Vile vihudumu vinapoelezea kuhusu maparachuti fastafasta tena kwa kingereza ....ladies and gentleman..... Huwa nasema huyu anasema nini, yaani itokee mbungi huku juu hivi vikarachuti ambavyo hata cjawahi kuvivaa ndo nivae wakati wa hatari vitasaidia kweli?

Kwanza huko angani kuelea tu ule upepo ni mtihani mkubwa KM 5 juu angani hadi ufike chini kuna mtu hapo? Balaa ufikie juu ya nguzo za umeme itakuwaje!?

Kiufupi huwa nateseka sana nikipanda ndege wakati mwingine huwa najuta kwanini nimeipanda nakuacha bus!

Kuna wakati inapokaribia kutua rubani huzima AC kusubiri kuruhusiwa kutua, basi hata kupumua huwa naona kama oksjen inapungua,

Nyie mnawezaje wenzangu! Tena comfortable kabisa huwa nawaona mnaneng'eneka kwenda hadi chooni!

Mnawezaje wenzangu? Samahan kwa hili jaman
Mkuu wewe ni Mhaya?
 
Back
Top Bottom