Wahasibu wa jamii forums najua mko wengi hadi wengine ni ma auditor, nina kazi ya kutengeneza hio report ila nilikuwa nataka template walau inipe picha ya kitu kinatakiwa kioenekanaje
Wahasibu wa jamii forums najua mko wengi hadi wengine ni ma auditor, nina kazi ya kutengeneza hio report ila nilikuwa nataka template walau inipe picha ya kitu kinatakiwa kioenekanaje
1. Kama mkaguzi wa ndani unataka kuripoti kwa mkuu wa kitengo cha ukaguzi wa ndani au kamati ya ukaguzi, ama
2. Wewe ni mkaguzi wa nje au mshauri binafsi unataka kuripoti kwa kampuni kile ulicho kiona au kukuta kuhusi mfumo wa uchakataji na upitishaji mishahara
Nafasi yako ndio itawezesha kupata ripoti unayo kusudia