Naombeni TBC2 na TBC international please!

Naombeni TBC2 na TBC international please!

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Wakuu salama?

Naombeni utaratibu wa kuomba kumlikishwa au kuendesha stations tajwa juu...

Kwani TBC2 muda wote inapiga bongo flavour tuu tena zile local kweli, aina vipind kabisa, watangazaji, matangazo na zaidi mara moja moja ujiunga na mpira...inauma sana TV ya taifa inamaliza kodi bure kabisa.

TBC international radio yenyewe muda upiga slow songs yan ni shideee.

Nimechoka nipeni mimi niziendeshe pls, au nipe utaratibu wa kuomba.

Taifa lina mambo mengi ya msing sana wanashindwa kutengeneza vipindi vywa kijamii, uchumi n.k kwa TV ya taifa kweli? inauma sanaaaaa.
 
aaagriiiih iv bado mnahangaika nayo hiyo channel?inawenyewe hiyo,uchanganyaji wa rangi nao ni tatizo yaan!
 
Back
Top Bottom