I'm not sure kama una skills zinazo match na mahitaji ya muajiri wako , ambazo zikakupelekea kupoteza Opportunity kwa tatizo la kutokuwa good speaker.
Unaweza ukawa Very words Economic guy
Ila ukawa mzuri katika kuandika , kufanya kazi na ku-meet target za muajiri wako .