hivi vyuo vya kilimo vinachukua score za masomo gani hasa?
mi nadhani biology, geography na hesabu vinahusika!! sasa kaka performance yako haisomi kabisa...!! sidhani kama unaweza kwenda soma kwa hizo perfomance ulizotaja!? though iam not sure!
hivi vyuo vya kilimo vinachukua score za masomo gani hasa?
Mi nadhani biology, geography na hesabu vinahusika!! Sasa kaka performance yako haisomi kabisa...!! Sidhani kama unaweza kwenda soma kwa hizo perfomance ulizotaja!? Though iam not sure!
Heshima kwenu wadau,
mimi ni mwanachuo wa chuo furani cha ualimu hapa tz.
katika maisha yangu ndoto yangu nirikua natamani sana niwe mtaalamu wa kilimo na mifugo. lakini kutokana na sababu za hapa na pale nimejikuta nasomea ualimu tena ngazi ya cheti kutokana na ufinyu wa bajeti.
sasa mimi pamoja na hali nirikua nina mpango ndani ya miaka 7 ijayo niwe nimekamilisha ndoto yangu ya kuwa mtaalamu wa kilimo.
kwa wadau waliopitia njia kama hizi naombeni njia mrizopitia.matokeo yangu ya kidato cha nne 2012 ni dalaja la nne la alama 26, kingereza C,Kiswahili C,hesabu F,fizikia sikufanya,yaliyobaki ni D tupu.
Naomba mawazo yenu ni mhimu sana.
Nafasi hapo ipo kabisa kaka, na nchi hii ilivyooza kwa rushwa...!! Mbona anapita kabisa.hivi vyuo vya kilimo vinachukua score za masomo gani hasa?
mi nadhani biology, geography na hesabu vinahusika!! sasa kaka performance yako haisomi kabisa...!! sidhani kama unaweza kwenda soma kwa hizo perfomance ulizotaja!? though iam not sure!
Kama hujaelewa nimeomba ushauri nifanyeje? kwani masomo ambayo umesema nina marks hizi hapa biology D,geography D,chemistry D
Nirikua nataka nisafishe cheti kwanza ndo nienderee ,kuhusu kusafisha cheti ndio sijui pakuanzia.ndio nimeomba ushauri.
Una nafasi kabisa hapo. Kama una cheti cha ualimu unaweza kuomba nafasi katika vyuo vya kilimo vya wizara ya kilimo kwa ajili ya diploma.
Nafasi hapo ipo kabisa kaka, na nchi hii ilivyooza kwa rushwa...!! Mbona anapita kabisa.
Kabla hujafiria kusafisha cheti..jaribu vyuo vya liti naimani katika mikoa mingi vipo!! Nenda kaulizie na utapata mwongozo zaidi...
BTW: jifunze matumizi ya "l" na "r"...kila la kheri..
Aksante nashukuru sana.
sasa naomba kama inawezekana ungenitajia vyuo vya kilimo ambavyo viko chini ya wizara ya kilimo.
Ilonga (Morogoro), Tumbi (Tabora), Mlingano (Tanga), Tengeru (Arusha), Mati Mtwara (Mtwara), Ukiriguru (Mwanza), Makutupora (Dodoma). Ingia website ya wizara ya Kilimo utaviona vyote.