naombeni price za iphone 3gs na 4gs kwa bongo..

naombeni price za iphone 3gs na 4gs kwa bongo..

mwanakazi

Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
68
Reaction score
37
wadau natafuta iphone, kama kuna mwenye connection na hizi bizness anijulishe bei ya iphone 3gs na 4gs kwa hapa bongo na kwa nje ya bongo ninaweza kuagiza vipi.... naomba mawazo ni kwa jinc gani naweza pata genuine product kwa bei nafuu zaidi, hata kwa kuagiza.

pia naomba mnijulishe jinc ya kuchek kama ni genuine au ya kichina.
ni hayo tu wadau............ plz help!
 
Nice advertising tactic unajiuliza na na unajijibu.......... forensic

Hapa ni teknolojia sio sehemu ya kuulizana bei . Ebu tuelezeee nini tofauti za kiteknini kati ya iphone 4g na 4gs.
 
Nice advertising tactic unajiuliza na na unajijibu.......... forensicHapa ni teknolojia sio sehemu ya kuulizana bei . Ebu tuelezeee nini tofauti za kiteknini kati ya iphone 4g na 4gs.
zing hyo 4gs hakuna! Au kaona ya mchina!
 
zing hyo 4gs hakuna! Au kaona ya mchina!

Cestus aksante
Kuna matangazo lakini nimwewai kusikia kuhusu 3gs kama sikosei . sasa kitekniki tofauti ya 3g na 3gs ni nini?
 
wadau natafuta iphone, kama kuna mwenye connection na hizi bizness anijulishe bei ya iphone 3gs na 4gs kwa hapa bongo na kwa nje ya bongo ninaweza kuagiza vipi.... naomba mawazo ni kwa jinc gani naweza pata genuine product kwa bei nafuu zaidi, hata kwa kuagiza.

pia naomba mnijulishe jinc ya kuchek kama ni genuine au ya kichina.
ni hayo tu wadau............ plz help!

Angalia hapa 3g mobile phones at kivuko.com
 
Unataka bei za dukani au mitaani ,mpya au used?
 
Hey appreciate the power of search Engines....Google and the like..
 
asanteni wadau!but niwe muwazi tu (nisiwe kama mbunge wa ccm na kusifia budget), cjapata msaada saaaaaana! na 3g na 3gs nazani kuna tofauti. tofauti ipi.............. go and google!
ha ha ha...........thanx much wanajamvi............ APPRECIATED!
 
Iphone 4 za mishemishe lakini mpya 1.2m
 
Back
Top Bottom