Mmechoka na huu upuuzi wa startimes, nataka kubadili king'amuzi.
Je, Azam inachanel ngapi? Je, e. Tv imo?
Mkuu wangu hii chaneli naipenda sana... Naomba tu kijilishwa kam imo... Alafu pia kama chanel ya mocie za action
Huku startimes ipo ila king'amuzi ndio hovyo
Kwanini azam tv wameiondoa e.tv?tumia startimes dish..sio antena nasikia ni better
Kwanini azam tv wameiondoa e.tv?
Kwanini hakuna channel hata moja inayoonesha UEFA.. Hata ukilipia kifurushi cha 25000 plus azam sports HD 15000.. Bado hutaona chochote.. Wanajigamba kumbe wababaishaji..
Sijui mkuu.. Sababu sijawahi kutumia.. Nazungumzia Azam..startimes kuna uefa?
Sijui mkuu.. Sababu sijawahi kutumia.. Nazungumzia Azam..
Azam akifanikwa kuweka EPL kwa sisi wapenzi wa Mpira wa Uingereza, atakuwa kamaliza kazi kabisa. So far, not bad!