Naombeni niwashirikishe mnishauri

Naombeni niwashirikishe mnishauri

1) Huyo rafiki yako unasema ni mgumu lakini mwisho wa siku alikupa papuchi tena akiwa anajua kuwa una mtu.Jiulize huyo ni mgumu kweli kama ufikiriavyo?

2) Huyo X niliyeachana mwezi wa tano mna sababu zilizo fanya muachane sasa una mfikiria kwa lipi? Je sababu za kuachana zimesha rekebishwa mpaka unamuweka kwenye kundi la kuwa mke wako?

3) wakati una wafanyia analysis watoto wa wenzio jifanyie na wewe analysis,iweje umegegede na uendelee kuwa na ukaribu na mtoto wa watu wakati una mahusiano? Ndio inahitaji self realization kabla ya yote

4) je ni ugumu wa mwanamke ndio kigezo pekee cha kuchagua mke?

Ushauri
Kwa namna ulivyo leta taarifa inaonekana huyo rafiki yako ndio chaguo lako sababu hujaweka sifa za huyo x wako.Jambo la pili ni kwamba ulikuwa na ukaribu na rafiki yako huku ukiwa na huyo x wako.Haya mawili yana maana kuwa huyo rafiki yako ndio chaguo lako ila unataka kupata justification ya chaguo lako.Fanyia kazi maswali yangu hapo juu then majibu yatumie kupata justification ya chaguo lako

that's very true!!!
 
ilkuwaje uyo rafiki yako akupe pachuchu?...
 
Huyu nesi usimpotezee si ajabu ndio mke mtarajiwa huyu, kama unampenda muonyeshe kwamba unampenda. Warembo wa leo si rahisi kukupenda katika kipindi ambacho huna kazi baadhi wangekupotezea tu. Ongeza juhudi za kutafuta ajira.
 
shirikisha ubongo usije chezea shilingi katika choo cha mabanzi
 
Mshika mawili moja humponyoka.

Tuliza sana kichwa kwenye kufanya maamuzi kwa wote wawili vinginevyo inaweza kukuletea matatizo hapo baadae baada ya kufanya maamuzi ya haraka
 
Back
Top Bottom