naombeni msamaha wana chit chat

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,178
Reaction score
64,555
Heshima yenu wakuu.
Naomba nitumie mda huu ulobaki kabla mwaka kuisha kuwaomba msamaha wale wote nilio wakwaza kwa namna moja au nyingine. kila binadamu ana mapungufu yake so i'm sorry!!.
Wale wanao chukia trade mark yangu ya MIA naomba mnichukulie poa kwa hicho kikwazo. ichukulie mama swaga tu au mambo ya ujana sababu sio tusi. Naomba nikosolewe katika hali ya upendo. tudumishe upendo, amani na mshikamano.
cc to Invisible, charminglady, Madame B, amu, Mzee wa Rula, watu8, Preta nk. mia
 
Last edited by a moderator:
Umesamehewa kijana! Enenda zako na usitende dhambi tena. mia
 
Tena were nilikuweka kwenye ignore list yangu ulinitukana Siku Mojawe wewe @fedel80 ngoja nikakutoe nimekusamehe shost
 
mkuu sidhani kama tushawahi kwaruzana mahali popote....na mtu yoyote achukiaye katika hii virtual world ya JF nina wasiwasi na Medulla Oblongata yake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…