Naombeni msamaha tafadhali sirudii kosa hili tena

Lazima upate hasira, wewe si mchaga? na chama chenu kimebamizwa kwenye uchaguzi wa madiwani, kikabamizwa tena Kalenga, na sasa kinabamizwa na mwana wa Kikwete Chalinze.

Lazima upate hasira sana, wala sikushangai.

Faiza eeeh twende tukanywe japo bia 1.
 
Karibu tena mkuu siasa inataka moyo wa chuma kwani usipoisifia ccm kule lazima uwashiwe moto na team book 7. Chezea kuchumia tumbo weye watu wako radhi kupiga vigelegele hata kabla mtu hajamaliza kuzungumza point yake si uliona majuzi
 
Lazima upate hasira, wewe si mchaga? na chama chenu kimebamizwa kwenye uchaguzi wa madiwani, kikabamizwa tena Kalenga, na sasa kinabamizwa na mwana wa Kikwete Chalinze.

Lazima upate hasira sana, wala sikushangai.

Wewe ni gamba tena nene, mkabila, mdini unayesapoti ugaidi, pale lumumba unafahamika wewe ni nana kwa wazee, huna jipya.!
 
Heshima zenu wakuu.Niko hapa kusema yakwamba nafuta kauli yangu yakusema Kwa herini wana MMU hamtaniona tena.Nafuta kauli hii.Baada ya kuondoka huku nikaelekea SIASANI na kwenye HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO huko nimeishia kufarakana na watu.Mimi nawasamehe wote walionikwaza na ninawaomba msamaha wote tuliokwazana kwa namna moja au nyingine.Siasa imenishinda ndoto zangu za kugombea ubunge ndo zimekufa hivyo maana siku ya kwanza kuingia siasani nikaishia kurushiwa maneno ya kejeli.Jamani nitaanza kuonekana humu kwa hiyo sihitaji maswali nikianza kutumia jukwaa hili .Kwa kweli jinsi nilivyosemwa huko sina hamu kwani ukileta utani kidogo tu unaishia kurushiwa maneno makali kweli.Narudi huku naombeni mnipokee kwa moyo mweupe.Bora nitulie huku maana nimejua ya kwamba huku ndiko naweza kukaa kwa amani.Haya nawatakia mchana mwema.

Kwani huku ndio unadhani kwa ovyo ukileta mambo ya hovyo unabadilikiwa vilevile
 
Lazima upate hasira, wewe si mchaga? na chama chenu kimebamizwa kwenye uchaguzi wa madiwani, kikabamizwa tena Kalenga, na sasa kinabamizwa na mwana wa Kikwete Chalinze.

Lazima upate hasira sana, wala sikushangai.
aisee amna shida mwakani ndo tutajua mbivu na mbichi ni zipi mnashika majimbo macheche sana
 
Karibu tena mkuu siasa inataka moyo wa chuma kwani usipoisifia ccm kule lazima uwashiwe moto na team book 7. Chezea kuchumia tumbo weye watu wako radhi kupiga vigelegele hata kabla mtu hajamaliza kuzungumza point yake si uliona majuzi
hivi kwanini unapotea potea hivi lakini? ok ukija uni-pm fasta tusalimiane!
sawa mwanawane?
 
aisee amna shida mwakani ndo tutajua mbivu na mbichi ni zipi mnashika majimbo macheche sana

Dalili ya mvua mawingu, nayo umeshaanza kuyaona, udiwani, Kalenga, na sasa Chalinze.

Twende zetu kule siasani tukajirushe, hapa tuwawache walevi wa mahaba wanaona tunawazingua tu, na sasa hivi watawaka.
 
Wewe ni gamba tena nene, mkabila, mdini unayesapoti ugaidi, pale lumumba unafahamika wewe ni nana kwa wazee, huna jipya.!

Umemaliza? haya sasa ngoja kipigo kitakatifu kutoka kwa Mwana wa Kikwete huko Chalinze.

Wana Chalinze wataonesha Mahusiano Mapenzi na Urafiki kwa magwanda au kwa mtoto wao?
 
Dalili ya mvua mawingu, nayo umeshaanza kuyaona, udiwani, Kalenga, na sasa Chalinze.

Twende zetu kule siasani tukajirushe, hapa tuwawache walevi wa mahaba wanaona tunawazingua tu, na sasa hivi watawaka.
mama niache nitakufa na stress mama mtoto mie bado hata ndoa bado sina hata mtoto ngoja kwanza nishtue kidogo niwe na akili za usiku nije huko
 
hivi kwanini unapotea potea hivi lakini? ok ukija uni-pm fasta tusalimiane!
sawa mwanawane?
Sawa mwanawane wabheja sana naleho. Sasa lipiemu limegoma kila nkiliclick linanambia no permission sijui na yenyewe imeanza ubaguzi. Anyway habari za masiku mdogo wangu
 
swafi thana thista! mzima weewe?
 
Umemaliza? haya sasa ngoja kipigo kitakatifu kutoka kwa Mwana wa Kikwete huko Chalinze.

Wana Chalinze wataonesha Mahusiano Mapenzi na Urafiki kwa magwanda au kwa mtoto wao?
Unamshabikia kwasababu ni muislamu me nakufahamu ulivyo mdini!
 
Hilo halina shaka kabisa. Kumbuka, mcheza kwao hutunzwa.
Kakupa kacheo nini? Tule wote basi bidada...mimi nipo tayari kubadili dini.! Nitakuwa kama huyo aliye nyuma ya avatar yako.!
 
Back
Top Bottom