naombeni msaadaa wakuu

naombeni msaadaa wakuu

David franco

Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
27
Reaction score
3
naombeni msaada nilijisahau nikafuta sms ya muhimu sasa je naweza pata tena sms hiyo na software gani or app gani??
 
Hutaweza kamwe zaidi ya kwenda kuomba kwenye ofisi za mtandao husika. Wakikuonea huruma sana wakupe.
 
naombeni msaada nilijisahau nikafuta sms ya muhimu sasa je naweza pata tena sms hiyo na software gani or app gani??
Nilionaga wondershare wana hiyo app jaribu kuwachek...nlishawai recover sms flan hivi
 
data recover ila hio natumiaga kwa PC ebu jaribu kama kwenye simu itafanya kazi
 
Back
Top Bottom