Naombeni msaada

hhsmakwato

Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
97
Reaction score
51
Wanajamvi habari za mihangaiko..
Naomba msaada kama Kuna anaeelewa juu ya hili tatizo langu.
Kiufupi ni kwamba nilinunua vocha ya Kenya sh 300 kwa ajili ya kuingiza kwenye Line yangu ya airtel lakini Bahati mbaya sikufanikiwa kuweza kuingiza kule Kenya...sasa nimerudi Tz je naweza kuingiza vocha ya airtel Kenya kwenye line yangu ya airtel hapa Tz ? Naomba msaada.....
 

umejaribu imekuletea majibu gan mkuu au bado hata kujarib haujajaribu
 
Nimejaribu hapa tz yanambia nimeingiza namba sio sahihi.
 
Kwani mtu ukijibu vizuri unapungua wapi....au nimewalazimisha kutoa msaada...Tz bado mko mbali sanaa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…