Naombeni msaada

mvuv

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,757
2,000
Ndg kwanza salamu.
Niliinstall program ya Folderlock kwenye PC yangu. Sasa katika kujaribu kulock nikalock program baada ya muda kila kitu kwenye PC kikawa shortcut had folderlock yenyewe.
Kila nikifungua hata movie tu naambiwa "The item referred to by this shortcut cannot be accessed. You my not have the appropriate permissions.
Naomben mnishaur cha kufanya
 

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,662
2,000
Hao ni virus mkuu scan na pia iuninstall hiyo program yako itakuwa imekuja na virusi..
 

mvuv

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,757
2,000
Nashukuru mkuu lakin nashindwa kuscan maana hata ant virus haisomi
 

Murano

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,062
2,000
bonya "start" kisha bonya "Control Panel" kisha bonya "programs" kisha itafute hiyo program ya lock folders katika list utaiona,hapo utaibonya right click kisha UNINSTALL

baada ya hapo restart computer
 

mvuv

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,757
2,000
Nashukuru nmefanya hivyo naambiwa. "You do not have sufficient access to uninstall Folderlock please contact your system adminstration
 

Murano

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,062
2,000
inavoonekana hiyo pc yako ina akaunt mbili moja ya kawaida nyingine inajiongoza kama ADMINISTRATOR,
sasa bas bonya kwa pamoja ALT na F4 kisha chagua LOG OFF ikimaliza utaziona hizo akaunti chagua yenye administrator kisha log in urudie zile hatua
 

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250
bonya "start" kisha bonya "Control Panel" kisha bonya "programs" kisha itafute hiyo program ya lock folders katika list utaiona,hapo utaibonya right click kisha UNINSTALL

baada ya hapo restart computer

.

Fanyakama alivokuelekeza kasaloo..


Tatizo halijasababishwa na hiyo Folder lock !

Kuna ka software flani kaku overcome hiyo ishu ! Alitoaga hapa Good Guy
nimesahau jina btw !

Hata aki remove hiyo folder lock the issue will persist !

My take
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom