RAINFORCEMENT
Member
- Aug 26, 2013
- 12
- 1
Kila nikitaka ku run games na other program, Pc yangu inaniandikia VGA IS MISSING! ivyo sasa sijui tatizo ni nini pia haiwezi kubadili brightness yani inaumiza sana macho kwa mwanga mkali.. Natanguliza shukran