Maelezo yako hayajitoshelezi digital Camera aina ya Sony ziko kibao,sasa sisi yako tutaijua je,isitoshe ingekuwa bora zaidi ukapita kwenye maduka if possible yanayouza product za Sonny hasa camera huko utasaidiwa.Kama hawana watakuelekeza wapi utapata.