naombeni msaada

naombeni msaada

Disminder girl

Senior Member
Joined
Nov 26, 2012
Posts
156
Reaction score
26
mamboz wana jf
jaman wana jf wenzangu me ndo nimejiunga unga hv karibuni humu jf sasa nataka kujua m2 akisema um pm anakuwa anamaanisha nn?
 
Duu kuna watu watata sana kwa kuomba pm, huyu bila shaka atakua ni yule mzee wa kugegeda.
 
Welcome to the world of great thinkerzzzz....
 
Duu kuna watu watata sana kwa kuomba pm, huyu bila shaka atakua ni yule mzee wa kugegeda.

ah wee bwana wacha zako...mie siombi pm hapa. nimekwambia mie nakamatia dada poa. hawa wa jf longo longo nyingi
 
mamboz wana jf
jaman wana jf wenzangu me ndo nimejiunga unga hv karibuni humu jf sasa nataka kujua m2 akisema um pm anakuwa anamaanisha nn?

tayari nimeshaku pm nenda kwenye inbox yako utaikuta.
sie tunafanya mambo kwa vitendo bibie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom