Pia angalieni upande wa Bei Kwa mwezi. Inaweza ikawa sababu. Maana wateja wazuri ni shule za Private. Shule za Private zinategemea soko la uelewa wa wazazi na kipato Chao, hivyo zilizo nyingi baada ya falsafa ya serikali kutoa elimu Bure nyingi hazina wanafunzi wakutosha. Sasa punguzeni Bei mtapata wengi.