desmond3076
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 280
- 212
Naomba jamani mwenye password ili niweze install quick book pro 2013. Nina shida kweli naomba msaada najua humu jamii forums kuna wataalamu na tumekuwa tukisaidiana please naombeni msaada wana IT na Developers niko maji ya shingo niliona mdau mmoja ameilezea nikaona itanifaa kwa ajili ya shughuli za kikundi chetu cha LIMCA
NATANGULIZA SHUKRANI WAZEE
NATANGULIZA SHUKRANI WAZEE