Una muda gani toka umejifungua?..,unanyonyesha?...
Kama unanyonyesha kutopata period ni kawaida(physiological amenorrhea) inatokana na homoni ya oxytocin kuwa nyingi kwa sababu ya kunyonyesha inapelekea kushusha (supress) homoni zingine zinazohusiana na mzunguko wa hedhi (menstrual cycle)
Hope utakua umeelewa..