Faru Jenny
Senior Member
- Dec 29, 2016
- 101
- 71
- Thread starter
- #21
Nazingatia ndugu. AsanteHaijalishi wewe unaweza kusimama badala yake na akaponywa na kuokoka.
Prisoner of hope
Nazingatia ndugu. AsanteHaijalishi wewe unaweza kusimama badala yake na akaponywa na kuokoka.
Prisoner of hope
Karibu tena.Nazingatia ndugu. Asante
Si mpaka aombewe akae sawa na yeye atamkiri yesu, kila jambo lina jibuYah upo sahihi Mkuu, ni kweli Bwana yetu Yesu Kristo wa nazareti anaweza kumponya huyo dada, kikubwa ni imani kwa tu.
Lakini umeniacha na swali Mkuu, nawaza tu..."ni kivipi mtu aliyechanganyikiwa na akili, akaweza kuokoka?!!.
Ni kweli nimemesema waganga kama moja ya vitu vilivtotugharimu sana. Maombi tumehudhuria lakini gharama za kifedha hazikuhusika sana. Ndio mahangaiko wakati wa shida.Katika maelezo yako hapo sijaona hata sehemu umesema ulimpeleka kanisani akaombewe zaidi ni kwa waganga ,mbona huwa mnakimbilia waganga wakati makanisa yapo watu wanaombewa wanapona....