kauzu mgumu
New Member
- Nov 2, 2012
- 2
- 0
Jamani mwenzenu nina tatizo ambalo kiukweli linanikosesha raha kabisa naomba mnisaidie Inshu yenyewe ni hii mm ni Kijana wa miaka 24 nilikuwa na tabia ya kuwa na wanawake mara huyu kesho huyu pia nilikuwa na rafiki yangu ambaye yeye nae pia anatabia kama yangu ila yeye kazidi maana yeye hajawahi kutongoza akakataliwa na hajawahi ingia na dem geto akamuacha maana yeye ni mtu mwenye convising power ya hali ya juu, sasa jamaa mimi nilimtaftia Dem ambae nilikuwa namuona ni Malaya kama wanawake wengine wa kawaida niliowazoea kumbe laa na huyo bint nilikuwa nafahamiana nae lakini sio sana basi nikachukua namba yake na kumtumia mchizi, ndipo kama kawaida ya mchiz akampata huyo dem wakaendelea na mapenzi jamaa alipofunga chuo maana yeye kwa wakati huo alikuwa anasoma Dar na mimi nilikuwa mbeya pamoja na bint.Kwa muda wote huo nilikuwa nimemjua tabia ya bint kwamba ni mtu mwenye mapenzi ya kweli na anampenda mpenzi wake maana kila alipokuwa akimpigia simu jamaa akikuta simu iko bize nyakati za usiku akawa ananipigia mm na kuanza kulalamika kwangu na nilikuwa naongea nae kwa muda mrefuu sana nilipata muda wa kumjua tabia yake kwa kiwango kikubwa sana, mara nyingi alikuwa ananiuliza kuhusu tabia ya jamaa lakini mimi si kuwa radhi kumwambia kwa muda wa mwaka mzaima na kidogo nilikuwa naficha siri za jamaa ingawa nilitambua kuwa binti alikuwa anaumia kuona hapati yale mapenzi ambayo alikuwa anayategemea maana alikuwa analia sana coz ya tabia mbaya aliyokuwa anafanyiwa sasa ilifika mahali binti alipata ujauzito na bint alikubali kwa lolote lakini jamaa alitaka aitoe na kwamba hakuwa tayari kabisa kuwa na motto wakati huo maana hataivyo Yule binti alikuwa hampendi ila alikuwa nae coz alikuwa anamng`ang`aniza bint coz alikuwa anamtumia hela na vizawadi vingi baada ya hapo binti walimfukuza home kwao kisa hiyo mimba mm alipo niambia nilimwambia akae na mchiz wapange maana wao ndo walio amua kupata hiyo mimba lakini alipo niambia antaka kutoa hiyo mimba mimi sikuwa tayari maana nilikuwa naumia kwa matendo aliyo kuwa akiumia na nilikuwa nakasirika sana maana kunakipindi nilifikia hata namminde mchizi kwa tabia aliokuwa akimfanyia bint. Bas binti alifika mahali akaitoa mimba kisiri bila mm kujua maana kama angeniambia nisinge msaport kwa lolotee. Sasa mimi kwakweli nilikuwa natamani Yule jamaa angezaa na bint ili anisaidie mimi maana nilijikuta nimeanza kumpenda Yule bint na nilitamani kuwa nae ilifika mahali ambapo mimi nilikuwa nimebadilika tabia yangu kabisa nikawa sina tena habari ya uplay nikawa alone kweli kweli.
Hapa ndo penyewe tafadhali zingatiasi
Siku moja ilikuwa tarehe 18mwezi wa 10 mm alinipigia bint simu na kuniambia yeye amesign out kwa mchizi maana amepata taarifa kuwa jamaa ana tabia mbaya sana na anamcheat mimi nilimwambia hayo sio ya kweli maana nilikuwa napenda waendelee na mahusiano lakini aliniambia hata kama nitamwambia na hata kama sinto mwambia yeye jamaa ameshamuacha na hataki mwanaume yoyote kuna kipindi hapo nyuma nilishawahi mwambia bint kuwa kama atakuja kuachana na mchizi basi nafasi aniwekee mimi maana ninampenda sana hapo bint akaanza kunitega hivi na vile na kwasababu alikuwa ananijua tabia yangu ya umalaya akaniambia mimi na Yule jamaa wote akili moja af nikiwa nae si atakuwa ameruka mkoja na kukanyaga mavi?mimi nilimwambia nimeshabadilika na nilikuwa nimebadilika kwelikweli sasa akanitega na maswali mpaka nilimueleza nia yangu na sababu za kukomaa yeye kutotoa mimba maana nilikuwa sitaki ije ifike siku nikamwambia kuwa nampenda basi bint alikubali kuwa na mmi na kwasababu nilikuwa nampenda nilikuwa nafanya kama messi akiwa kwenye kumi na nane basi nilimkutanisha na ndugu zangu mpaka ikafikia kipindi akawa anawasiliana na baba yangu maana mimi ni msabato na alikubali kubadili dini ili tuu nije nimuowe na nilikuwa radhi kumuowa maana nilikuwa nampenda sasa kwasababu nilikuwa nae alikuwa akiniuliza maswali na kunilaumu kwanini nilikuwa simwambii ukweli kuhusu tabia ya jamaa basi nikawa namwambia kuwa wanawake wanaongozwa na hisia so sio vizur kuwaambia maana hata kama wamekosana ikitokea wamerudiana basi wewe ndo unaonekana mbaya. Basi hapo nilikuwa huru kufunguka lakini kipindi amenikubalia niliamua kumwambia jamaa ukweli nikitambua bora umwambie wewe kuliko aje ajue yeye mwenyewe huwa inakuwa mbaya sana jamaa alicho nijibu ni kwamba wee endelea maana mimi ananizuilia kufanya mambo yangu ya msingi sana coz yeye ni king`ang`anizi sasa kweli nilikuwa huru ila kinacho niumiza jana nilimpigia simu na akawa hayupo kama sikuzote anavyoongea hajachangamka na alikuwa ananijibu jibu tuu basi nikiwa naongea nae alipokea simu ya mtu mwingine bila ya kuomba ridhaa kutoka kwangu kama jinsi ilivyo kawaida mm nika muandikia msg ifuatayo MPENZI SIJAPENDA TABIA ULIYO NIFANYIA YA KUPOKEA SIMU NYINGINE BILA YA RIDHAA YANGU MIMI HIYO TABIA SIIPENDI Baada ya kumaliza kuongea akanipigia simu na kuniomba radhi akaniambia kuwa alikuwa anaongea na mama ake basi yaliisha lakini bado sikuwaa na raha tokea hapo basi ilipo fika jioni mida ya saa tisa hivi jamaa akanitumia messeji kuwa niende nikachukue madesa ya chuo maana na mimi nipo hapa Dar lakini yupo vyuo tofauti basi nikaenda mwenge ambako alikuwapo yeye basi nilipofika cha kwanza aliniambia anamaongezi na mm basi tukaaa faragha na kuzungumza cha kwanza alicho nionesha ni hiyo mesej hapo juu nilio pigia mstari basi automatically nikajua tuu kuwa kimenuka basi niliamua kumuelekeza kila kitu maana hata hivyo nilishawahi mueleza b4 so halikuwa geni kwake basi akaniambia hisia zake kwamba nimemuudhi basi mimi nilimuomba msamahaa Yule jamaa na alikubali kunisamee sasa bado sina raha nimekosa amani na nipo kila nikikumbuka hili tukio najuta sana
NAOMBENI USHAURI WENU KWA MAANA MIMI NIMEKOSA AMANI NA SINA RAHA NA HILI JE? NIFANYE NINI NIWE NA AMANI KAMA YA ZAMANI?
SAMAHANI MAANA UJUMBE WANGU NI MRUFU ILA NAOMBENI MSAADA WENU>>>
NAWASILISHA HOJA