snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
Wanaume kama ninyi nimekuwa nikiwasubiri kwa hamu sana mpite hapa MMU. Mungu si athumani naona leo mmojawapo umepita anga hizi. Ni hivi bwana mdogo huwa nakereka sana na vijana malaya kama wewe ambao kutwa ni kurubuni watoto wa kike kwa tamaa tu za madushelele yenu, kutwa kuyachovyachovya tu kwa mabinti maskini ya Mungu wasio na hatia.
Wewe ndio sheitwani wa kwanza kumsababishia binti wa watu kadhia aliyonayo sasa halafu unakuja na kimbelele hapa unajitutumua eti unampenda, hivi unajua maana ya neno upendo wewe au mashauzi tu hayo.
Ungekuwa unampend ungethubutu kumkuwadia kwa chizi mwenzako asiye na haya kama wewe...lione kwanza macho yalivyokutoka ptuuuuu!!!
Jitu linalishwa kwa mkopo wa serikali halafu linajifanya lina sera ya kutaka kuoa,uongo mtupu njoo mtaani huku uchapwe kwanza na maisha ndio utajua nini maana ya ndoa. Kufungulia tu zipu wanawake wachache tayari ushajiona mwanaume katika wanaume, hayawani mkubwa wewe na huyo mwenzako....
Halafu vibinti vya siku hizi sijui navyo kwa nini havijielewi...kutwa kuruka na njia tu kutafuta mabwana wasioeleweka. Na mlivyo malimbirifu, mkishaambiwa habari ya ndoa basi akili yote inawehuka na kufikiria mambo huwenda yakawa mswano,kinachotokea mnajisahau wajanja wanadunga nundu hapo tumboni,halafu ndio unakua mwanzo wa kuwehuka....mabinti tulizeni mbunye zenu hizo yupo wa thamani anayestahili kuogelea hapo eiiish!!!
mimi hapa tu unaponipa raha ,mtani wangu!i see natafuta tafuta kwenye makabrasha yangu nione naweza kukutunuku zawadi gani!a minute please!