Naombeni msaada wawazo wadau

Naombeni msaada wawazo wadau

good advice inaonekana leo uko serious na Jesus sababu somewhere else nimeona umecomment the same.

hahahah hili neno lina historia

ila ukishikwa na hasira sana usitukane wala usigombane

sema tu YOU NEED JESUS!
 
Mwandiko wako sio wa mtu mzima

Duh asee mm ni mtu mzma cio mtt im late 20s sasa mnachoniambia mjue im old enough cio vbaya tukibadlshana mawazo mm ni muumin mzur tu kwenye imani yangu

Unaandika kama una miaka 16
 
Mwandiko wako sio wa mtu mzima



Unaandika kama una miaka 16

sawa mnisamehe kwa maneno yasiyoeleweka lakini ni mazoea ya kuandika kwa ufup tu ila point ya msing ni kua kuna mschana nina uhusiano nae ila nikiweka picha nikiwa nae kwenye whatsup inakua ugomvi ndo nikamuulza kuna kitu unaficha akadai hatak kua maarufu kama uhusiano ni wa watu wa2 . so nikaulza kuna kitu hapo au nitemane nae kiaina?
 
Back
Top Bottom