naombeni msaada wataalam.

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,278
kuna ndugu yangu anasumbuliwa na vipele ambavyo vinajitokeza mikononi,na mgongoni,alipima vdrl ikawa non-reactive.wakasema itakuwa ni aleji! Wakamwandikia vidonge viitwavyo Pledinsolone,kweli ametumia dose,tatizo likaisha kabisa,cha ajabu vimeanza tena,ila inapotumia vinaacha!tatizo litakuwa nini?
 
Mwili wake umekosa virutubisho.....vipo virutubisho vilivyofanyiwa uchunguzi kwa miaka 25 na baraza la wanasayansi Israel na marekani..Vitamsaidia !! Wengi wameona mafanikio ikiwemo mimi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom