naombeni msaada wapi nitapata dawa hii.

Tatemahunda

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
232
91
wakuu salaam, nilienda hospital baada ya kusumbuliwa na mguu uliovimba, baada ya vipimo nikandikiwa dawa 2, moja niliipata pale pale na nyingine hadi leo sijaipata, nimezunguka maduka makubwa ya dawa nijuayo na bado sijapata, naombeni mnisaidie niipate wapi popote pale Tanzania . dawa yenyewe ni IVEMECTIN....
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom