MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
USHAURI KWA HUYO MAMA......!
''...if you are going through the HELL....just keep going,there is always an exit door far far ahead....''
ninachokijua mimi ni kwamba zinaa anayoifanya huyo baba ni matokeo ya kushindwa kumchagua a right person ''kama hafanyi kwa tamaa za kimwili''
lakini pia.....(POTELEA MBALI MI NAOMBA NIWE MKWELI TU)....matokeo ya zinaa anayoifanya huyo baba ni MAKUBWA SANA(hapa tunaweka imani chini tunazungumzia DEATH AND LIFE BUSSINESS)
acheni masihara ninyi watu.......
hapo kwenye RED naona tunakwenda sawa....hatuwezi kufika kwenye bussiness oppotunity kabla ya hiyo RED..!!USHAURI KWA HUYO MAMA......!
''...if you are going through the HELL....just keep going,there is always an exit door far far ahead....''
ninachokijua mimi ni kwamba zinaa anayoifanya huyo baba ni matokeo ya kushindwa kumchagua a right person ''kama hafanyi kwa tamaa za kimwili''
lakini pia.....(POTELEA MBALI MI NAOMBA NIWE MKWELI TU)....matokeo ya zinaa anayoifanya huyo baba ni MAKUBWA SANA(hapa tunaweka imani chini tunazungumzia DEATH AND LIFE BUSSINESS)
acheni masihara ninyi watu.......
hapo kwenye RED naona tunakwenda sawa....hatuwezi kufika kwenye bussiness oppotunity kabla ya hiyo RED..!!
Mjukuu search engine ya JF naona imeshindwa kunipatia link ila nikfanikiwa nitaiweka hapa!!Babu ni kweli hapa thread itachakachuka..hebu nisaidie kuweka link ya ile thread ya Are we fighting the lost Battle kama sikosei hili la nature lilizungumziwa sana humu.
People In Love Should Not Enjoy Romance!!!!!!!!!!!!!!!Kumbe ndo mambo yako hayo sikujua aisee kila la heri bana
Now you are talking Teamo............. point ya kwanza na ya tatu nakuunga mpaka kichwa but hapo kwenye ya pili kuwa matokeo ya anachokifanya mbaba ni kushindwa kuchagua the right partner toka mwanzo pananipa utata............ How many choices alikuwa nazo enzi hizo?? Unless tuthibitishiwe kuwa huyu mkewe wa ndoa ndie aliyemwingiza yeye baba kwenye ulimwengu wa mapenzi akachanganyikiwa.
People In Love Should Not Enjoy Romance!!!!!!!!!!!!!!!
UNAJUA MWANAJAMIIONE.......!
kwenye hoja ya pili hapo...NI UKWELI UNAOHUZUNISHA!very unfortunately naweza kuliita kama JANGA LA KITAIFA!na tatizo hili hasa hasa limejengwa na hizi tunazoziita LOVE MARRIAGES!kitu kibaya kibaya kibaya kabisa kwa maisha ya mwanadamu ni ile ''a fact kwamba over 70% of love marriages NEVER WORK..''
zamani kidogo:
-mke unatafutiwa na wazazi kwa kuangalia tabia na historia za koo/families
-maisha yalikuwa na amani sana
kimsingi ndio ndoa za wazazi wetu ambao ndo wanaishia ishia
kizazi kipya sasa:
-unajitafutia mupenzi WEWE MWENYEWE kwa vigezo vya LOVE...(love my a-s-s!)
-ni ndoa zenye break-ups nyingi sana after two yrs of marriages
-ni ndoa zenye mateso na unyanyasaji mkubwa kwa wanawake
-ni ndoa zilizosheheni CHEATING AT ITS MAXIMUM LEVEL
hahahaha!
eti love....LOVE?....
LOVE MY A-S-S!lol
love my bad

Wewe!!! Hebu mshauri huyu mother house basi,
Manake haya mambo ya kingo hayaaaaaa!!
Kwa mantiki hiyo Teamo nimekuelewa but remember LD amesema hawa ni wale wazee yaani ndoa yao ina more than 50 years je hawaangukii kwenye zile ndoa za zamani?? .................sijaelewa pale uliposema kuwa alifail kumpata the right person (kama hafanyi kwa tamaa za kimwili) so tunaruhusiwa kujivinjari na wale tunaohisi ni right kwetu (not kwa tamaa za kimwili) ?
hapo chacha!Oyaa LD anasema hii ndoa ni ya wakongwe...ndo wanaishia ishia hivyo...au zamani unamaanisha mwanzo wa dahali
UNAJUA MWANAJAMIIONE.......!
kwenye hoja ya pili hapo...NI UKWELI UNAOHUZUNISHA!very unfortunately naweza kuliita kama JANGA LA KITAIFA!na tatizo hili hasa hasa limejengwa na hizi tunazoziita LOVE MARRIAGES!kitu kibaya kibaya kibaya kabisa kwa maisha ya mwanadamu ni ile ''a fact kwamba over 70% of love marriages NEVER WORK..''
zamani kidogo:
-mke unatafutiwa na wazazi kwa kuangalia tabia na historia za koo/families
-maisha yalikuwa na amani sana
kimsingi ndio ndoa za wazazi wetu ambao ndo wanaishia ishia
kizazi kipya sasa:
-unajitafutia mupenzi WEWE MWENYEWE kwa vigezo vya LOVE...(love my a-s-s!)
-ni ndoa zenye break-ups nyingi sana after two yrs of marriages
-ni ndoa zenye mateso na unyanyasaji mkubwa kwa wanawake
-ni ndoa zilizosheheni CHEATING AT ITS MAXIMUM LEVEL
hahahaha!
eti love....LOVE?....
LOVE MY A-S-S!lol
love my bad
Hata mimi nimejikuta namlaumu huyu baba zaidi MJ1, halafu fikuiria na uzee huu,
mtu anajikatia tamaa, mpaka house girl anamdharau.
Anaishia kuona bora akae peke yake tu bila house girl.
Na mikazi ya nyumbani inavyochosha.
well......Oyaa LD anasema hii ndoa ni ya wakongwe...ndo wanaishia ishia hivyo...au zamani unamaanisha mwanzo wa dahali
well again....Kwa mantiki hiyo Teamo nimekuelewa but remember LD amesema hawa ni wale wazee yaani ndoa yao ina more than 50 years je hawaangukii kwenye zile ndoa za zamani?? .................sijaelewa pale uliposema kuwa alifail kumpata the right person (kama hafanyi kwa tamaa za kimwili) so tunaruhusiwa kujivinjari na wale tunaohisi ni right kwetu (not kwa tamaa za kimwili) ?
.. ..Inauma sana aisee...Tamaa za mwili + uadilifu wa moyo + kingo + open merieji= mwanadamu timilifu
LD hujambo?
Huyu mme hakukosea kumwoa mkewe...japo pia hakukosea kuwa na mpango wa nje (najua ni dhambi).....
Nadhani wakati wanaona walikua kompatibo zaidi ya sasa....
Alichokosea huyu mme ni kumwacha mkewe nyuma katika masuala ya kimaisha, hadi akakosa kujiamini (kwa kiwango cha kuogopa hausigeli)...
Hatari kubwa iliyo mbele ya hii familia ni uhusishaji wa nguvu za giza...........
labda ntarudi.....