...-Kama ilivyo kawaida mother house hana furaha na kile anachokifanya mume wake, kumletea hadi mtoto kwenye ndoa. Hana ujasiri kwa mume wake, ni mnyonge, hana maamuzi yake binafsi, hana uhuru wa kutosha. Yani ni tabu tupu. Anaishi tu kwa sababu kuna kuishi lakini hana furaha ya ndoa kabisa. Na kwa sababu ya hayo anazidi kuwa kituko kabisa, hata house girl anaweza akamfokea!!
...