.
Kongosho AnaonaGAje? ...
naniJE?!
Anyway,
Blue G hicho hapo juu ni kiswahili cha mtaani kinachoitwa
"kiJEjeJE"
Mfano utamsikia mtu anasema ...
Nimekumisi
JE?
Nampenda
JE?
Nimenuna
JE?
Watajibeba
JE!
Nimechoka
JE!
Wajuzi wengine huenda mbali
mpaka hata majina ya watu wanayaweka katika
kiJejeJE
Mfano:
Kongosho
JE!
Nani
JE
Au
Wapi
JE!
Hela
JE!
:eyebrows:
.....................