WAKUNJOMBE
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 622
- 644
Kuna dada wa umri wa miaka 22, yupo Dar mi nipo Arusha, huyu binti anajua kila kitu ninacho kifanya kwenye line zangu za simu.
Nina line tatu, Voda, Tigo na Airtell, anapata sms zangu zote yaani ziingiazo na zitokazo,anajua calls zangu zote nipigapo na nipokeapo simU, anajua route zangu zote yaani kila nilipo anajua.
Mfano jana jpili tr 14.04.2013 kanitumia sms zote nilizo tuma na kupoke,akanitajia sehem zote nilizotembelea na mda niliotumia.
Anajua passward zangu zote ile ya JF, Facebook,Yahoo,Gmail na Ovi, na kila nikichange passward anajua na ananitumia new pass, mfano tr 12/04/2013 nilimfuma akitumia my FB accout alipost baadhi ya picha, nilichokifanya nikabadili pass ward,baada ya mda aka ni sms kwenye airtell sms ilikuwa hivi (hahahahahahah umechange passward from...... to...chezea career ww), nikaishiwa nguvu.
Nilijalibu kumcall nikamuuliza kwa nini unafanya hivyo(yaani kuspy maisha yangu) alinambia hataki dada yake aumezwe na kimapenzi, alisema akitaka aache kunifutilia basi niachane na .....(akataja majina ya wasichana wawili)
Nikamwambia mbona hao sio wapenzi kwangu, akanitajia siku nilizo sex nao mahali na mda na nikweli.
Huyu dada namjua kwa jina,napicha zake nilizo onyeshwa na dada ake ambaye ndio my fiance.
DIVECE ANAZO TUMIA
Ana smart phone tatu
Samsung galaxy S3,blackbell na DORADO,
Nilicho gundua hiyo DORADO ndio inahiyo program anayotumia kunitrace
Baada ya upelelezi wa haraka haraka nigandua si msichina aliye tulia ..nikawajua baadhi ya ma boy zake ,,
Mmoja yupo ikulu ya JK(afisa usalama) na mwingine yupo ubalozi wa Misri Tanzania nawajua hadi kwa majina hao watu.
so kati ya hao mmoja ndio kampa hiyo DORADO na akamfundisha jinsi ya kuspy anybody.
OMBI
Naomba kwa yeyote mwanye idea anipe ili niepukane naye.