Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
Poleni na hongera kwa msaada!Huyo mtoto kama wako vizuri na Wewe ni mtoa msaada,kuna mtoto mwenye changamoto kama hiyo,hapa Dodoma, Wazazi wake walimpeleka Sehemu inaitwa Mkali karibu na Gairo kuna Hospital nadhani ni ya Wakatoliki.Huyo mtoto kwa Sasa Yuko vizuri na anaonyesha uwezo mzuri wa kiakili pia.Na vifaa tajwa viko huko Ahsante.Salamu wakuu
Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu
Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri kichwa kinapungua mdogo mdogo .ana miezi sita sasa
Kusema kweli wazazi wale wamechokaaa maana kila siku wanalazwa hosptal mtoto ana six month now.halafu ni young couple just imagine hata mama mkwe na mawifi hawaendi hosp.hata chakula anakula cha hosp hakuna wa kumpelekea maana mume inabidi apambane maana kuna bill za hosp inabidi walipe
Sasa nilivoona nimsaidie baadhi ya vitu kwa uwezo wangu
Ila nikaona niwashirikishe ndugu zangu humu kama kuna mtu anavitu vya watoto mfano cha kujifunzia kukaa au kutembelea etc ambayo hatumii anisaidie nimpe au kama unauza bei ya chini nitanunua
Nimejaribu kutafuta kwa mashoga zangu sijapata bado
Poleni Sana Ila Kama upo DSM kesho uje clouds FM utaonana na Dr is sack Maro naimani utapatikana msaada zaidi ya huoSalamu wakuu
Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu
Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri kichwa kinapungua mdogo mdogo .ana miezi sita sasa
Kusema kweli wazazi wale wamechokaaa maana kila siku wanalazwa hosptal mtoto ana six month now.halafu ni young couple just imagine hata mama mkwe na mawifi hawaendi hosp.hata chakula anakula cha hosp hakuna wa kumpelekea maana mume inabidi apambane maana kuna bill za hosp inabidi walipe
Sasa nilivoona nimsaidie baadhi ya vitu kwa uwezo wangu
Ila nikaona niwashirikishe ndugu zangu humu kama kuna mtu anavitu vya watoto mfano cha kujifunzia kukaa au kutembelea etc ambayo hatumii anisaidie nimpe au kama unauza bei ya chini nitanunua
Nimejaribu kutafuta kwa mashoga zangu sijapata bado
Na masikio ukubwani kutosikia wapi Dr mzuri?Poleni Sana Ila Kama upo DSM kesho uje clouds FM utaonana na Dr is sack Maro naimani utapatikana msaada zaidi ya huo
Shukrani nitamuambia mkuuPoleni na hongera kwa msaada!Huyo mtoto kama wako vizuri na Wewe ni mtoa msaada,kuna mtoto mwenye changamoto kama hiyo,hapa Dodoma, Wazazi wake walimpeleka Sehemu inaitwa Mkali karibu na Gairo kuna Hospital nadhani ni ya Wakatoliki.Huyo mtoto kwa Sasa Yuko vizuri na anaonyesha uwezo mzuri wa kiakili pia.Na vifaa tajwa viko huko Ahsante.
Na masikio ukubwani kutosikia wapi Dr mzuri?
Hawajaniomba hata msaada mkuu ni Mimi nimeona Tu niwaombee .kuna vitu ninavo nijaziePoleni Sana Ila Kama upo DSM kesho uje clouds FM utaonana na Dr is sack Maro naimani utapatikana msaada zaidi ya huo
Kuna mtoto wangu ,anachangamoto ya masikio kutosikia ! Imetokea ghafla akiwa kidato Cha 6, mwaka Jana Nimehangaika nae huku Dodoma Bado,anasumbuliwa.Sijakuelewa mkuu
Huskii kabisa au usikivu mdogo?Na masikio ukubwani kutosikia wapi Dr mzuri?
Hawajaniomba hata msaada mkuu ni Mimi nimeona Tu niwaombee .kuna vitu ninavo nijazie
Usikivu mdogo MkuuHuskii kabisa au usikivu mdogo?
Huskii kabisa au usikivu mdogo?
Kuna mtoto wangu ,anachangamoto ya masikio kutosikia ! Imetokea ghafla akiwa kidato Cha 6, mwaka Jana Nimehangaika nae huku Dodoma Bado,anasumbuliwa.
Hasikii kabisa au usikivu mdogo ?
OK poleni SanaUsikivu mdogo mkuu
Ukiwakuta wenye roho mbaya wa namna hii ndoa utaiona jehanamumama mkwe na mawifi hawaendi hosp
Shukrani mkuuWeka namba yako ya simu vitu sina Ila naweza kushiriki hii sadaka.
Tafuta vifaa vinavosaidia kuongeza usikivu sidhani kama vitakua bei ghali sanaUsikivu mdogo Mkuu
OK ni jambo jema maana utakuwa umefanyika Sana baraka katika hiyo familia ✊🏿Shukrani mkuu
Hela nitaenda kulipia bill natuma na risiti humu
Tafuta vifaa vinavosaidia kuongeza usikivu sidhani kama vitakua bei ghali sana