Mkuu Mimi sitaki kumfanyia hivyo ndo maana nimeomba ushauri.Vijana tambueni jambo moja la msingi sana mnapaswa kulijua.
Ni rahisi sana kumshauri mtu juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi tu kuliko mahusiano ya ndoa.
Ndoa sio kulalana tu kitandani ukajua umemaliza, ndoa ni maagano (covenant) baina ya wawili walioamua kwa "dhati" ya kweli ya mioyo na nafsi kuishi pamoja "milele" na ndio maana inahusisha viapo .
Kaa tafakari kwa kina hilo neno "milele" lina dhana pana sana ndani yake. Na hakuna jambo lenye madhara kama kuapa, ukikiuka kiapo hubaki salama hata kidogo.
Suala la kabila la wanawake wa kipare kuwa kisima cha kijiji nadhani ni nadharia tu kwakuwa hilo linahusu mtu mmoja mmoja(nafsi) ,ni mara ngapi member wa jf wanalalamikia wenza wao kuchepuka na si wa kabila hilo?
Maamuzi ni yako ndugu
Wanawake wajanja sanaAlishakuambia kuwa ana mtu wake hapo wlawal na hakutaka hata kukupenda huyo n njaa tuu znamleta kwako badae apite hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna nia ya kuoana naye, achana naye tu kwa kumpa live kuwa huna mpango nae. Nyeusi iwe nyeusi na nyeupe ibaki kuwa nyeupe bas
Asante Mkuu .... nitafanya hivyo kwa kutumia line nyingine isiyo na jina langu.Insue ya kabila na tabia izo ni small maters
We hakikisha anakupenda kwel na sio anakupenda kwakuwa kapigika
Mfanye awe wako afu umtest upendo wako
Tafta mtu amjarb
Asante Mkuu .... nitafanya hivyo kwa kutumia line nyingine isiyo na jina langu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unajua wajanja sasa unataka ushauri wa nini?
Kuhusu issue ya dini nilishamwambia wazi kwamba huoni ni kitu kigumu akajibu nisubiri atakuja kuoengea nami ana kwa ana.K
Kumbe unajua wajanja sasa unataka ushauri wa nini?
Binafsi naona hakufai sababu ya zile sababu zake za kwanza alipokukataa,Then na wewe haupo serious unatafuta mke wa dini tofauti badae uje kulialia hapa tena, hataki nimuoe......!!
Tunakushauri tu uamuzi ni wako! Endelea kumuamini,pia kama unataka mke tafuta wa dini yako.Kuhusu issue ya dini nilishamwambia wazi kwamba huoni ni kitu kigumu akajibu nisubiri atakuja kuoengea nami ana kwa ana.
Sababu ya kwanza kunikataa alikua ana mtu lakini Sasa hivi anasema wameachana.
Na kasema yeye mtu mgumu kukubali mahusiano na mtu mwingine Kama ana mtu akaongeza ndo maana alinikataa awali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asantee mkuuTunsTunakushauri tu uamuzi ni wako! Endelea kumuamini,pia kama unataka mke tafuta wa dini yako.
Baba so roho nzur tu yan hata kumpenda mtu hvohvo maana sasa unafanyeje ila hyo mambo yakija kukaa vzur ndo utaelewa mzik wakeKuwa makini na hawa viumbe siyo wa kuwaamini. Mwanamke anayekupenda hawezi kukuzungusha kiasi hicho. Anamaliza chuo, mtaani kugumu, njaa kali na ajira zimekuwa adimu kwahiyo lazima akumbuke kijiwe chake cha zamani. Maneno yangu siyo sheria lkn fikiria sana hawa viumbe wakiwa na njaa wanakuwa na roho nzuri sana unaweza fikiria ndiyo umefika. Muda nao ni jibu
Usijali nitakuletea mrejesho PM.Yakikupata naomba ulete mrejesho hapa kwangu inbobo Au public mimi suala la kabila sion kama lina tatzo, tatzo la kwanza ww naona umependa sura na ww kwa sababu unaeza kijisifia ulivo bas nmekuelewa kwamba kipaumbele chako cha kwanza n figure nikupe pole Pia.
Ok, kama unataka kuwa na familia nzur ya kumcha Mungu kaoe wa dini yako ndio anaeza kusema anakufata ila badae ikawa mgogoro maana yake watoto wasiwe na din Maalum utasema m n kidume ntampangia ila kumbuka ameenda shule ko usifikir n rahis kuendeshwa tu
Pili hyo dada hakupend n shda ndo zmemrudisha kwako usipoamin ww leta mrejesho tu we mwenyewe unajua hali ya mtaani ilivo apo ameona unaajira kwa nn asikukumbuke hv umeshindwa hata kujiulza hk kipind alichokutafta ila unachokuja kuongea n habar za kabila n kwel we n handsome ila iko so kigezo cha kupendwa na kila mtu
Nna mengi ya kuongea kulingana na uzi wako ila nachoka kutype pia kwa mda wako soma conditional na unconditional love
Sent using Jamii Forums mobile app