Naombeni msaada wa ushauri

Naombeni msaada wa ushauri

Msafa

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
280
Reaction score
287
Heshima kwenu wakuu.Mimi ni kijana wa kiume na nina miaka 30.
Katika maisha yangu nilipitia changamoto nyingi za mapenzi,nilishawahi kudate na mdada fulani lakini aliniacha sababu sikua msomi mwingine alinisaliti live kitu ambacho kiliniuma Sana.

Ni hivi wakuu kutokana na changamoto nilizopitia nikawa mtu wa kugegeda na kusepa tu.Sasa wakati nipo chuo Kuna mdada nilimtongoza lakini alinikatalia ila sikukata tamaa nilikomaa naye lakini hola.siku moja aliniambia hapendi kunidanganya kwani ana mtu wake tayari lazima aseme ukweli.Nilifikiri utani nikawa naendelea kumtext hakawa hajibu kabisa niliacha kumsumbua.

Mimi nilimaliza chuo na kumuacha anaendelea sababu alikua mwaka wa kwanza wakati mimi mwaka wa tatu.kutokana na utundu wangu nilipomaliza tu nilipata tempo na baada ya mwaka 1 nikabahatika kuajiriwa serikalini.Sasa Yule dada kanitafuta na ameniambia kwa Sasa yupo tayari kuwa nami awali nilijua njaa tu za chuo Kuna siku katika kuchat chat nikamkaribisha chakula kwa njia ya simu akashukuru baadae akaniambia yeye kapiga pasi ndefu Sana nikamwambia pole later akanijibu Kama nimeguswa nimsaidie hapo nikafunguka nikamwambia mimi siwezi kumuhudumia kwa sababu sijui huko chuoni yupo na nani na hatujui future yetu kifupi mimi nina malengo na maisha yangu na sipendi ujinga ujinga wa chuo(Binafsi Sina roho mbaya ila nilimjibu hivyo kwa sababu wadau mliopitia chuo mtanielewa Jinsi uongo uongo na mapenzi yalivyo chuoni na ukweli nina malengo yangu ya kununua kiwanja)

Sasa huyu mdada tumekua tukiendelea kuwasiliana ila Jana nilimwambia kwanini unapoteza mda wakati unajua Mimi ni Muislam na wewe mkiristo akajibu suala hilo atakuja likizo tuliongee ana kwa ana na yupo seriously na maisha.

Mdada ni natural black hanaga swaga za make up na kuvaa mawigi,mpare ,mluther,anamalizia degree yake mwaka huu.

Mimi ni kiziwi japo si muhimu kusema hivyo, handsome boy,elimu yangu degree,Mpogoro, muislam.

Je,ni kweli wapare hawaridhiki na kweli wapare kisima Cha Kijiji maana watu wanaongea ongea Sana mtandaoni kuhusu wapare?

Je, inawezekana mwanamke akawa na long plans amei-set maana kutokana na hali yangu naogopa labda anataka kujishikiza tu?

Je,ni kweli wapare wanaua waume zao baada ya kutajirika?

Ni hayo tu wakuu.

NB:Natamani kutulia na kua na familia Sasa lakini tatizo wanawake jaman.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uzi mrefuuu wakati ingewezekana kuandika mistari miwili tu na ukaeleweka.
japo ni nambo ya kizamani kugeneraliza lakin andika " Nina mpenzi wa kipare naombeni kujua tabia za wanawake wa kipare" ukishaandika hivyo wakabila wenzako ni rahis kukuelewa na kukueleza.
 
Mwanaume kujisifia handsome boy mbele ya kadamnasi sio uanaume huo
Binafsi nikiwa na mdada afu akaanza kunisifiasifia nilivyo au maumbile yng ya sili naachane nae, sijui kwann ila ndo nilivyo
So mwanaume usijisifie hvyo, ni unakaa unajua unanyamaza kama hujion
Ni ushauri tu
 
Hahhahaah nimekupata ila nishauri kuhusu wapare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uzi mrefuuu wakati ingewezekana kuandika mistari miwili tu na ukaeleweka.
japo ni nambo ya kizamani kugeneraliza lakin andika " Nina mpenzi wa kipare naombeni kujua tabia za wanawake wa kipare" ukishaandika hivyo wakabila wenzako ni rahis kukuelewa na kukueleza.
Sorry ila si umeelewa.Naomba ushauri wako basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry ila si umeelewa.Naomba ushauri wako basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini na hawa viumbe siyo wa kuwaamini. Mwanamke anayekupenda hawezi kukuzungusha kiasi hicho. Anamaliza chuo, mtaani kugumu, njaa kali na ajira zimekuwa adimu kwahiyo lazima akumbuke kijiwe chake cha zamani. Maneno yangu siyo sheria lkn fikiria sana hawa viumbe wakiwa na njaa wanakuwa na roho nzuri sana unaweza fikiria ndiyo umefika. Muda nao ni jibu
 
Mkuu kuwa makini nao, otherwise hagulii na wayagu neni mlongu gwaku nigaona kala aga manyanya gau.

Nadhani utakuwa umenielewa labda uwe mpogolo wa mjini.
 
Vijana tambueni jambo moja la msingi sana mnapaswa kulijua.

Ni rahisi sana kumshauri mtu juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi tu kuliko mahusiano ya ndoa.

Ndoa sio kulalana tu kitandani ukajua umemaliza, ndoa ni maagano (covenant) baina ya wawili walioamua kwa "dhati" ya kweli ya mioyo na nafsi kuishi pamoja "milele" na ndio maana inahusisha viapo .

Kaa tafakari kwa kina hilo neno "milele" lina dhana pana sana ndani yake. Na hakuna jambo lenye madhara kama kuapa, ukikiuka kiapo hubaki salama hata kidogo.

Suala la kabila la wanawake wa kipare kuwa kisima cha kijiji nadhani ni nadharia tu kwakuwa hilo linahusu mtu mmoja mmoja(nafsi) ,ni mara ngapi member wa jf wanalalamikia wenza wao kuchepuka na si wa kabila hilo?

Maamuzi ni yako ndugu
 
Kuwa makini na hawa viumbe siyo wa kuwaamini. Mwanamke anayekupenda hawezi kukuzungusha kiasi hicho. Anamaliza chuo, mtaani kugumu, njaa kali na ajira zimekuwa adimu kwahiyo lazima akumbuke kijiwe chake cha zamani. Maneno yangu siyo sheria lkn fikiria sana hawa viumbe wakiwa na njaa wanakuwa na roho nzuri sana unaweza fikiria ndiyo umefika. Muda nao ni jibu
Asante Sana mkuu nimekuelewa.kila nikikumbuka nyuma nafikiria Sana lakini yeye anasisitiza yupo seriously lakini nitaongeza umakini zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom