Habari za Jumapili Ndugu zangu..
Ni hivi Mwenzenu nimejipiga piga nimepata Laki 4 hapa,Nahitaji kununua Laptop Nzuri Ambayo Itanisaidiaa kwa Maishaa yangu ya chuo hapa..Mimi ni mpenzi wa Games hivyo Laptop itakayokua na uwezo pia wa kuplay games kama FIFA bila usumbufu kwa hiyo bei niliyoitajaa hapo juu....
Naombaa Ushauri Ninunua Laptop ipi Na pia ukiniwekea na specifications zake Ntashukuru Sana...
Karibuni,Natangulizaa Shukurani!