Habar ndugu zangun, mimi ni mwanafunz wa MUCE first yr nasoma Ed in science (Math) sasa naomba kujua kama mm kuchukua somo moja inaweza ikaniletea shida ktk swala la ajira...?
Vilevile kuna tatzo lolote hapo baadae kwa mm kuchukua somo moja?
Acha wasiwasi rafiki yangu, mwalimu wa Math ni dhahab ata siku moja hawezi kosa kupangiwa, nina rafiki yangu alisoma kama wewe leo yupo serikalini na anashule mbili za private anafundisha, labda ingekuwa arts subject ila kwa science usihofu kabisa.